Recent content by ilex

  1. I

    JamiiForums Tanzania GE2015 Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)

    namkubali sana tundu lisu .Anaweza tupeleka tunapotaka. yupo serious kweli na watanzania. Naomba ukawa wamupe nafas jamaa .
  2. I

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: Tundu Lissu atafaa zaidi CHADEMA

    Tundu lissu. Namkubali sana kuliko mtu yoyote ndani ya Cdm. jamaa ana msimamo sana bhana.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

    Job hatoki mpwapwa
  4. I

    JamiiForums Tanzania Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

    umemsahau Aliko Kibona Ileje hawezi rudi
  5. I

    JamiiForums Tanzania Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

    umemsahau Aliko Kibona Ileje hawezi rudi.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Swaga za huyu mdada zimeniogopesha nahisi ana upeo sana atanisumbua

    umenichekesha kweli wacha nilale .boss
  7. I

    JamiiForums Tanzania Kutokuvaa gwanda kwa Zitto huko Mtwara kuna maanisha nini?

    Zzk bado anahitajika ndani cdm. kuvaa ,kutokuvaa haina tija ,tija tunamuondoaje huyu mkoloni mweusi
  8. I

    JamiiForums Tanzania Mgombea urais asiyetabirika kutoka upinzani!!

    Tundu lissu the best kwa Tanzania ya sasa. Namkubali kuliko mwanasiasa yeyote tz.
  9. I

    JamiiForums Tanzania University of Dar es Salaaam: Mtambo wa kuzalisha wahujumu uchumi na mafisadi Tanzania

    inaonesha njisi gani ulimweupe kichwani mwako. yaani umekaa miaka yote chuoni'yaani hujui matatizo ya Africa yanasababishwa na nini duu !!!!!! Eti unaponda UDSM. kwa Uwezo unao onesha hapa kweli hukusitahili kusoma UDSM.'home of intellectual'
  10. I

    JamiiForums Tanzania University of Dar es Salaaam: Mtambo wa kuzalisha wahujumu uchumi na mafisadi Tanzania

    huo ndio ukweli MKUU .umewahi sikia TO kasoma Udom
  11. I

    JamiiForums Tanzania Wamama watu wazima mtatumaliza

    hapo umempaaa!!!!!
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kikwete ni mpango wa Mungu ili CCM ianguke

    me ninashukuru mungu tuu
  13. I

    JamiiForums Tanzania Kikwete Afaulu Mtihani Uliomshinda Pilato!

    pole sanaa naona unatetea tumbo lako. usije kufa njaa!!!!!!!!!!!!
  14. I

    JamiiForums Tanzania Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

    escrow
  15. I

    JamiiForums Tanzania Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Back
Top Bottom