Recent content by ILA

  1. ILA

    JamiiForums Tanzania Ya Magufuli na Dr. Tulia ni mpango wa CCM dhidi ya Lowassa

    Ni mwendelezo wa wanawake...... Go Dr. Tulia......
  2. ILA

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Said Kubenea na familia yake! Hongereni kwa wanamabadiliko

    Kumbe aunt Zubby ni mke wa Kubenea......waoh sikulijua hili.....huyu dada anastahili kabisa ni kamanda wa ukweli na amekitumikia chama ipasavyo ana vigezo vyote....
  3. ILA

    JamiiForums Tanzania TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    DEO kaniumaaaaaaa R.I.P Kamanda
  4. ILA

    JamiiForums Tanzania Nani anagombea ubunge kupitia UKAWA jimbo la Ngara?

    OK....Kwa hiyo mgombea ni nani sasa tujue tunajipangaje?
  5. ILA

    JamiiForums Tanzania Nani anagombea ubunge kupitia UKAWA jimbo la Ngara?

    Sina maslahi naye kabisa.....naelezea hali halisi ndie mgombea tegemeo atakayewashinda CCM huu ndio ukweli
  6. ILA

    JamiiForums Tanzania Nani anagombea ubunge kupitia UKAWA jimbo la Ngara?

    Hapana mkuu swala ni huyo Dr. Bujari kuwa mgombea kama ni yeye ila kupitia Nccr shida hakuna kabisa.......kumbuka tunachotaka ni ushindi na ndie mgombea anaekubalika sana
  7. ILA

    JamiiForums Tanzania Nani anagombea ubunge kupitia UKAWA jimbo la Ngara?

    Mkuu kwa hiyo Dr.Bujari ndio anagombea ukawa Ngara ila kupitia Nccr?au sijakuelewa.....kama ni hivyo shida hamna kabisa......
  8. ILA

    JamiiForums Tanzania Nani anagombea ubunge kupitia UKAWA jimbo la Ngara?

    Wana mabadiliko kuna sintofahamu inaendelea hapa Ngara tulitegemea Dr Bujari ndio atapeperusha bendera ya ukawa kupitia Chadema, sasa naona jimbo wameachiwa Nccr Mageuzi ambao kwa kweli huku hawana mtandao kama Chadema kwa sasa.......na huyu ndio pekee aliyekuwa amebaki kama tegemeo na anaeweza...
  9. ILA

    JamiiForums Tanzania Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

    Bravooo Zitto......ujumbe huu uwafikie wanasiasa na wale wote wafanyao siasa za majungu, fitina na visasi. Mungu ibariki Tanzania.
  10. ILA

    JamiiForums Tanzania A Million Dollar Question...

    Chadema wanaweza kuwa na mapungufu yao lakini kwangu mimi ni mashujaaa tena sana. Hivi kweli mtu unasema unaipenda CCM kwa lipi? unafiki pembeni jamani kweli bila upinzani ukiongozwa na Chadema hivi hii nchi ingekuwa wapi....muogopeni Mungu jamani hata kama mnaneemeka na hiyo CCM kumbukeni...
  11. ILA

    JamiiForums Tanzania SIRI ya kutekwa Kibanda, video ya Lwakatare zazidi kufichuliwa

    Hata kama sio TISS walioutengeneza lakini hii inaonyesha pia wanatumika, wao baada ya kuipata hiyo video kwa nini wai-upload u tube? Lengo lao lilikuwa ni nini? Kwani wasingeweza kuifanyia kazi bila kuiweka mitandaoni? Na inaonyesha wao ndio walioiweka mtandaoni maana Bw. Michuzi anawapongeza...
  12. ILA

    JamiiForums Tanzania SUA ni kama juventus.

    Vijana someni acheni ligi zisizo na maana, nyinyi ndio baada ya kumaliza chuo mnaanza kulalamika ajira hamna...nadhani tuna tatizo la kimfumo na mimi nasema alaaniwe kabisa aliyeanzisha ufisadi na rushwa Tanzania. Ndio maana kila mtoto anaekua anafikiria kuwa mhasibu, mwanasheria n.k kwa sababu...
  13. ILA

    JamiiForums Tanzania updates interview ya tarehe 8 duce

    Haya hapa.....kila la heri mlioitwa
  14. ILA

    JamiiForums Tanzania January Makamba na Henry Shekiffu walinikimbia kwenye mahafali!

    Hakuna degree ya kimagumashi duniani.....maarifa/ujuzi wowote ukiutumia vizuri utakukomboa na kukupa mafanikio katika maisha.
  15. ILA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ...sitaki kuuona uume na sitaki nionekane uke wangu!

    Labda amekeketwa.......
Back
Top Bottom