Recent content by Ikunda

  1. I

    JamiiForums Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Habarini humu ndani. Nina shamba bagamoyo fyukayose, nimesoma maelezo ya kilimo cha tikiti imenipa uchu nami kuanza kulima kilimo hiki, sasa basi naomba mwenye ujuzi wa eneo hilo anijuze haya: 1.Ardhi ya kule inafaa kwa kilimo cha tikiti? 2. Endapo nikichimba maji naweza nikawa nafanya kilimo...
  2. I

    JamiiForums Ratiba ya mapishi ya wiki

    Habarini humu ndani, Familia nyingi za Kitanzania tumezoea kila siku ni lazima chakula kiwe ugali mchana, jioni wali. Naomba mwenye uelewa wa chakula bora atusaidie kupata ratiba ya wiki ya mlo kamili kwa ajili ya familia zetu. Natanguliza shukrani
  3. I

    JamiiForums Nimewakumbuka, MMU Legends

    Dhu shukrani Mbu, Babu alikuwa nani vile?? miaka inakimbia.
  4. I

    JamiiForums The brutal death of Emmanuel Sithole

    OOOhhh My God!, Kwa nini unaruhusu haya yatokee??? Rest In Peace Emmanuel
  5. I

    JamiiForums Kware: Ufugaji bora wa Kware, Na faida ya bidhaa zitokanazo na Kware

    Ubarikiwe sana Deo. Mie naomba mfano wa picha la banda la kufugia hao kware.
  6. I

    JamiiForums Jamaa aliyeongea kichaga na kuimba kiarabu siku ya KTMA anaitwa nani?

    dha aliniongezea siku huyu kaka kwa kucheka, nilimkubali. anaimba kiarabu anaongezea sijui nini na niniii, puuu,:smile-big::smile-big:
  7. I

    JamiiForums Maskini Mr. Nice

    Ajifunzi tu?? hana wivu wa maendeleo???? ana nini huyu??? aaagggrrrrrrrrr
  8. I

    JamiiForums Albert Mangwea (Special Thread)

    Kila nafsi itaonja mauti,...... Rest In Peace Albert.
  9. I

    JamiiForums M to the P kashatua bongo

    sasa ni lipi lipo sahihi?? mara hana taharifa kama Albert kafariki, hapa yuko njiani kuelekea moro, lipi ni sahihi??????
  10. I

    JamiiForums Millad ayo!

    Anastahili hongera, aendelee kukuaza buti atafika mbali, mie huwa situne mawingu kbs ILa ikifika saa moja jioni napenda kusikiliza kipindi chake, anasauti nzuri, ni mbunifu, Ubarikiwe Milardi.
  11. I

    JamiiForums Queen of the Gorillas (Malkia wa Masokwe)

    mmmmm hapa kazi ipo, ni kitendawili kujua kitakachoendelea.
  12. I

    JamiiForums Mama yangu adui yangu

    Sio mchezo, dha! Mzizi hongera sana
  13. I

    JamiiForums Queen of the Gorillas (Malkia wa Masokwe)

    Mzizi mbona pamedoda huku?
  14. I

    JamiiForums Hebu tu-rewind mkanda..Wema Sepetu na marehemu Steven Kanumba..(R.I.P)

    hakika nimependa haya maneno.
  15. I

    JamiiForums Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    mafuta ya alizet nayafanyia nini?? nawapaka kwenye vile viuvimbe?, naweka kwenye maji/chakula au?? naomba ufafanuzi tafadhali!
Back
Top Bottom