Recent content by Ikula

  1. Ikula

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupata mimba

    Kivipi
  2. Ikula

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupata mimba

    Iringa Mimi niko ikwiriri
  3. Ikula

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupata mimba

    Wanajf mwezi January nilianza period tarehe 7,February tar 4 na march hii nimeanza leo tarehe 3 naomba msaada ni tarehe zipi naweza kupata mimba maana niko mbali na mume wangu tunataka tupate mtoto nataka aje cku za hatari ili mimba ipatikane.Naomba kuwasilisha.
  4. Ikula

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa tuition Hesabu na physics A Level anahitajika haraka

    25000 kwa topic nitafute
  5. Ikula

    JamiiForums Tanzania Matukio: Godbless Lema akipokelewa nyumbani kwake Arusha

    Chadema tuambiane lini mkutano wa hadhara tumsikie mh lema mm niliye iringa nianze safari
  6. Ikula

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna pombe ya kienyeji nzuri kama ulanzi?

    Unanikumbusha pale mafinga seminari kijiji cha jirani mji mwema kuna mama alikuwa anatuuzia ulanzi anatupikia na mboga msampuo mixer mkalifya na majani ya maboga na pilipili nyingi duuuh ulanzi pombe bora sana jamani
  7. Ikula

    JamiiForums Tanzania Tuliomaliza form four kabla ya 2011 NACTE

    Jamani nilikuwa nafanya usajili NACTE lakini nikifika sehemu ya kujaza mwaka niliomaliza form four mwaka haukubali. Nilimaliza mwaka 2006, naomba msaada wenu tatzo nini au tuliomaliza kabla ya 2011 hatutakiwi kuomba?
  8. Ikula

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa hii kozi ya Community health

    Piga advance tu
  9. Ikula

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza kusoma tena kozi za afya?

    Msaada kwa anayejua namna ya kuapply ukifika sehemu ya kujaza mwaka uliomaliza o level ni kama panazingua vile
  10. Ikula

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza kusoma tena kozi za afya?

    Sawa kaka nimekuelewa sasa namna ya kuapply nacte ukifika sehemu ya kuweka mwaka kama panazingua hivi
  11. Ikula

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza kusoma tena kozi za afya?

    Wanajf,nimemaliza kidato cha nne mwaka 2006 na kufaulu vzuri daraja la kwanza point 17 masomo ya sayansi nikafaulu vzuri pia bios A,chem B,physics C na math C lakini kwa kutokujua advance nikaenda mchepuo wa arts nikafaulu vzuri pia nikaenda chuo kikuu nikasoma BBA lakini toka nimalize mambo...
  12. Ikula

    JamiiForums Tanzania Meya Boniphace Jacob amfungukia RC Makonda

    Hapa kaandika kama mwananchi wa kawaida hizo nyadhifa unaleta wewe
  13. Ikula

    JamiiForums Tanzania Ukipata mimba mabadiliko unaanza kuyasikia mwilini baada ya muda gani?

    Wadau nataka kujua ukishasex kama umepata mimba baada ya siku ngapi utahisi mabadiliko ya mwili?
  14. Ikula

    JamiiForums Tanzania Rais Mugabe asema atagombea urais hata akiwa marehemu

    Kaka hujaeleweka au na wewe ni kihiyo?
  15. Ikula

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kujibu tuhuma zilizoelekezwa kwake kupitia PB ya Clouds FM tar Februari 23, 2017

    Asante [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Back
Top Bottom