Ikula
Member
- Feb 4, 2017
- 87
- 138
Wanajf,nimemaliza kidato cha nne mwaka 2006 na kufaulu vzuri daraja la kwanza point 17 masomo ya sayansi nikafaulu vzuri pia bios A,chem B,physics C na math C lakini kwa kutokujua advance nikaenda mchepuo wa arts nikafaulu vzuri pia nikaenda chuo kikuu nikasoma BBA lakini toka nimalize mambo ni magumu mtaani nataka nikasome upya kozi za afya vipi bado nina vigezo?