Mwalimu wa tuition Hesabu na physics A Level anahitajika haraka

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,556
25,334
Muhitaji yupo Dar, masomo ni Math na physics A level

Karibu.
 
1.MECHANICS- mwezi 1

2.HEAT mwezi 1

3.WAVE -Mwezi

4.ELECTRICITY -mwezi

5.ELECTRONICS -mwezi

6.ELECTROMAGNETIC -Mwezi

7.MODERN PHYSICS mwezi

Topic gani ya kawaida kwenye physics?

GEOPHYSICS ilikuwa ndo topic ya kawaida tu
 
Nichek hapa 0743282756 advanced math na Phz.....kwa advanced math bei ita depend na topic yenyewe....pia kwa Phz hvohvo.....
 
Back
Top Bottom