Msaada namna ya kupata mimba

Ikula

Member
Feb 4, 2017
87
138
Wanajf mwezi January nilianza period tarehe 7,February tar 4 na march hii nimeanza leo tarehe 3 naomba msaada ni tarehe zipi naweza kupata mimba maana niko mbali na mume wangu tunataka tupate mtoto nataka aje cku za hatari ili mimba ipatikane.Naomba kuwasilisha.
 
Siku ya kwanza katika mzunguko ni ile ya kwanza kupata hedhi,
Fuata hiyo kalenda ili kujua siku za hatari (za kupata mimba)

Ila kiashiria kingine ni zile siku ambazo unapata hamu kubwa ya kufanya tendo la ndoa baada ya kumaliza hedhi, siku zile ambazo baada ya kumaliza hedhi huwa unapata hamu kubwa ya kufanya tendo na unatamani uwe na mumeo ndio huwa yai lipo tayari kurutubishwa.
 
Attachments

  • IMG_1488568479.842103.jpg
    IMG_1488568479.842103.jpg
    20.9 KB · Views: 571
Wanajf mwezi January nilianza period tarehe 7,February tar 4 na march hii nimeanza leo tarehe 3 naomba msaada ni tarehe zipi naweza kupata mimba maana niko mbali na mume wangu tunataka tupate mtoto nataka aje cku za hatari ili mimba ipatikane.Naomba kuwasilisha.
Tafta specialist wahaya mambo
 
Njia ya uhakika ya siku ya kupata ujauzito ambao sio wa bahati mbaya yapasa ufanye mambo yafuatayo:
1. Ununue thermometer....nzuri ni ile ya manual
2. Alfajiri ya mapema kabla hujatoka kitandani hakikisha unapima joto kabla hujatoka kitandani
3. Rekodi kiasi cha joto kila siku kuanzia siku ulipoingia hedhi
4. Siku utakayoamka ukapima joto na kukuta thermometer inasoma joto la juu kuliko siku ya jana yake na juzi yake hiyo ndio siku yai linatoka kwenye ovari jipya kabisa tayari kwa kurutubishwa.
5. Siku unayoanza kupima kama inawezekana yafaa mwenzi wako afanye maandalizi ya kuzipa mbegu muda wa kukomaa vizuri akisubiri hii siku hapo juu.
6. Pia chakula bora kwako na mwenza wako kama sehemu ya maandalizi ni muhimu
7. Vyakula vyenye madini ya chuma au food supliment ni muhimu saana kwa mimba na afya ya mtoto tarajali
8. Utaratibu hapo juu ukifuatwa chansi ya mtoto atakayepatikana ni wa kiume.
9. Kupima afya kwa wote wawili kuhakikisha hamna maambukizi yatakayopelekea kupata matibabu yatakayohusisha tiba za "antibiotics " ni muhimu.....sababu ni kwamba nyingi ya dawa wakati wa ujauzito haziruhusiwi na zikitumika zinaweza kusababisha mimba kutoka, mtoto kufia tumboni au kujifungua mtoto asie kamili
10. Mwezi unaotarajia kufanya hayo niliyokwambia yafaa mwenza wako awepo karibu angalau mwezi huo, ni muhimu kisaikolojia na kuhakikisha siku joto likipanda tu immediately mnasex
11. Nawatakia uzao mwema. Ukifanikisha plz niinbox
12. Mwisho kabisa muhimu kuliko yote zingatia mlo kamili, asali, mbegu za maboga, vegetable soup yenye mchanganyiko wa kamili wa mboga za majani km grean beans, njegere, boga, roiko kwa ajili ya ladha, spinach, carot, hoho, bilinganya kidogo unziblend baada ya kuchemka kwa dk 5. Unatoa supu matata sana kwa ajili ya afya na kinga. Achana na machips kula nafaka zisizokobolewa, brown bread, matunda, juice za matunda zenye mchanganyiko na beetroot kwa ajili ya damu ni muhimu saaana
Kila la kheri na above all usisahau kumuomba Mungu uzao mwema.
 
Utakwenda nazo hizo 34567891011sasa Sikh yeyote baada ya hizo yaan 12_13_14, unaweza pata mimba ukitumia vzr hizo siku
 
Wanajf mwezi January nilianza period tarehe 7,February tar 4 na march hii nimeanza leo tarehe 3 naomba msaada ni tarehe zipi naweza kupata mimba maana niko mbali na mume wangu tunataka tupate mtoto nataka aje cku za hatari ili mimba ipatikane.Naomba kuwasilisha.
UNATUMIA SIKU NGAPI?TATU,TANO AU
 
Njia ya uhakika ya siku ya kupata ujauzito ambao sio wa bahati mbaya yapasa ufanye mambo yafuatayo:
1. Ununue thermometer....nzuri ni ile ya manual
2. Alfajiri ya mapema kabla hujatoka kitandani hakikisha unapima joto kabla hujatoka kitandani
3. Rekodi kiasi cha joto kila siku kuanzia siku ulipoingia hedhi
4. Siku utakayoamka ukapima joto na kukuta thermometer inasoma joto la juu kuliko siku ya jana yake na juzi yake hiyo ndio siku yai linatoka kwenye ovari jipya kabisa tayari kwa kurutubishwa.
5. Siku unayoanza kupima kama inawezekana yafaa mwenzi wako afanye maandalizi ya kuzipa mbegu muda wa kukomaa vizuri akisubiri hii siku hapo juu.
6. Pia chakula bora kwako na mwenza wako kama sehemu ya maandalizi ni muhimu
7. Vyakula vyenye madini ya chuma au food supliment ni muhimu saana kwa mimba na afya ya mtoto tarajali
8. Utaratibu hapo juu ukifuatwa chansi ya mtoto atakayepatikana ni wa kiume.
9. Kupima afya kwa wote wawili kuhakikisha hamna maambukizi yatakayopelekea kupata matibabu yatakayohusisha tiba za "antibiotics " ni muhimu.....sababu ni kwamba nyingi ya dawa wakati wa ujauzito haziruhusiwi na zikitumika zinaweza kusababisha mimba kutoka, mtoto kufia tumboni au kujifungua mtoto asie kamili
10. Mwezi unaotarajia kufanya hayo niliyokwambia yafaa mwenza wako awepo karibu angalau mwezi huo, ni muhimu kisaikolojia na kuhakikisha siku joto likipanda tu immediately mnasex
11. Nawatakia uzao mwema. Ukifanikisha plz niinbox
12. Mwisho kabisa muhimu kuliko yote zingatia mlo kamili, asali, mbegu za maboga, vegetable soup yenye mchanganyiko wa kamili wa mboga za majani km grean beans, njegere, boga, roiko kwa ajili ya ladha, spinach, carot, hoho, bilinganya kidogo unziblend baada ya kuchemka kwa dk 5. Unatoa supu matata sana kwa ajili ya afya na kinga. Achana na machips kula nafaka zisizokobolewa, brown bread, matunda, juice za matunda zenye mchanganyiko na beetroot kwa ajili ya damu ni muhimu saaana
Kila la kheri na above all usisahau kumuomba Mungu uzao mwema.
Duuuh umekamua desa la.uhakika
 
Safi Maelezo mazur
 
Back
Top Bottom