Recent content by ikomaland

  1. ikomaland

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Duu ngoja nilale
  2. ikomaland

    JamiiForums Tanzania Ana miezi 8 tu lakini Uzito wake sasa...

    Gym inamuhusu
  3. ikomaland

    JamiiForums Tanzania We angalia tu usicomment!

    Nimeshacomment maskini
  4. ikomaland

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Why wanapenda maongezi ya simu?

    Mie bado mgeni,naomba kuuliza, eti na visa vya kutunga na vyenyewe vinaombewa ushauri humu????????
  5. ikomaland

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Why wanapenda maongezi ya simu?

    Baada ya kazi tunakutana home
  6. ikomaland

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Why wanapenda maongezi ya simu?

    Mi mwenzenu sipigiwi na wala silalamiki, cku akipiga naogopa labda kuna jambo baya limetokea
  7. ikomaland

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inansikitisha sana- naona mwisho wetu umefika

    Poyeeeee
  8. ikomaland

    JamiiForums Tanzania SMS hizi! Ungefanyaje?

    Eti MTU anakupigia simu saa saba usiku halafu anakuuliza umelala? Ni bora umjibu uko nje unaota jua
  9. ikomaland

    JamiiForums Tanzania chezzea kichapo cha skuli eeh

    Nikiwa msingi nilikataa kupitia deli la ice cream za mwalimu, mwalimu aliponiuliza nikamwambia mie nimechoka kubeba kila siku awambie na wengine, nikaitwa staff nikajibu vile vile, nikachapwa kidogo walimu wakaniamuru nilifuate, dadeq! Nikaenda home ckurudi ng'oo, kesho take nikakuta zigo la...
  10. ikomaland

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Oyeeee ni kushangilia has a pale yanga inapowafunga waarabu
  11. ikomaland

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke amenenepa baada tu ya kumuoa

    Mipasho tu!!!!!!!
  12. ikomaland

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kifikra nimeshindwa kung'amua labda kwa uwezo wa mungu
  13. ikomaland

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno haya yana maana gani JF?

    Usituletee paper kigongo,sie wengine vilaza
  14. ikomaland

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno haya yana maana gani JF?

    Thanx Prof.
  15. ikomaland

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaojiita wadada wa Mujini...

    Mmmh napita tu mie
Back
Top Bottom