Ngoja uingie kwenye ndoa halafu ukae years simu ya mkeo huoni ng'o na akikupigia ujue ana cha kuongea utakachokiona cha maana kama vile 'Mtoto anaumwa.(nukta)', "Mamaako kaja", "Nimpe fundi shilingi ngapi?", "Baba neema hujaacha ada ya neema unategemea niitoe wapi? ", "Usisahau mafuta baba fulani", "Umeme umeisha", "Baba neema lala huko huko kama unaweza kwa sababu sa ivi usiku sana si vizuri kutembea(It doesn't make any difference to her whether u sleep at home or not)". Then uone utakuja kuandika thread gani hapa.