enheeeeeeee nimwambiaje
:A S 13::A S 13:......................:tape::tape::A S 465:
![]()
mwambie leo zamu yakeee.
:A S 13::A S 13:......................:tape::tape::A S 465:
![]()
Ni zaidi ya wiki moja tangu nilipokuta mpenzi wangu ameandikiwa meseji ya kimapenzi fb na mtu aliedai ni binam yake na dada ake akanitext kunieleza kuwa yule kweli ni binam yao.
Kinachonifanya nisiamini ni pale napomwambia amjibu ile meseji na anakataa. Kwa ufupi tuko mbali (mikoa tofauti) na siku kadhaa zimepita tangu tumekaushiana hatuwasiliani wala haombi msamaha.
Kwa sasa naona nichukue hatua ya mkatia mawasiliano na kumfuta kabisa maishani mwangu japo inaniumiza sana.
Nilitumia busara kaka nikamwambia tu amjibu na angemjibu yangeisha. Wasi wasi uliibuka pale alipogoma kumjibu
Madogo tu hayo jamani ebu ongeeni mmalize, nayeye ana uhuru wa ku access account yako? maana anaweza akakutana na mazito kuliko hayo so take it easy na kama hataki kumjibu usilazimishe labda ni busara zaidi kutomjibu wengine ukiwajibu ndio unakaribisha ukaribu, mie kuna mtu hapa msumbufu ananipm ujinga ujinga sana sasa ikitokea mme wangu kaingia na kusoma akichukua uamuzi wako atakuwa amenionea maana huyu mtu sina time nae kabisa na simjibu nampotezea tu ili akichoka apotee, kama umenisoma hapa wewe unaenipm mara una kampuni sinza, gorofa mbezi ni wewe hapo nimekutolea mfano halisi ili huyu mleta mada aelewe watu kama wewe mpo wengi tu
Nimekuelewa sana. Ila kwanini akatae kumjib na akubali uhusiano wetu uvunjike? Maana nlimwambia kama hamjibu naachana nae na ajatoa sababu ya msingi ya kutomjibu
Unajua kuna watu hawapendi kuendeshwa? mmoja wapo mimi kama nina uhakika sihusiki na jambo ukiniforce kufanya aisee sifanyi sababu naona napoteza mda wangu tu, mfano tu hiyo kumjibu unataka amjibu nini? nakushauri hivi kwa vile una access na hiyo account yake mjibu wewe majibu ambayo unataka yeye ajibu alafu utaona muendelezo wake, ila kimsingi mi sioni kama hiyo ni sababu ya msingi, na kama kweli binamu yake labda anaona atasababisha mahusiano mabaya so vema kumpotezea tu, na pia kumtishia kuachana nae sio suluhu na kama hausiki nayo ndio zaidi umemtia hasira ndio maana anaona fanya vyovyote poa
kuumbe????