We huna akili. Soma sana sasa hivi fiscal and monetary policies za sasa hivi uone kama magufuli anafaa kuwa kiongozi au ni janga. Huwezi kulazimisha civil servants watunue ttcl wakati expansion ya macro economic policies ni market forces i e demand and supply kumbuka uchumi una demand side and...
Kamati ya maadili haina maana tena. Ili inafanya kama Mahakama na mahakamani mtuhumiwa anaweza shinda au kushindwa.
Sasa sijawahi kuona mtu anaitwa halafu anashinda, sasa ile ni kamati ya maadili kweli au ni rubber stamp tu ya Ndugai?
😂😂😂😂 la LEO wanapokea GAWIO toka TTCL wakati kampuni inaendeshwa kwa hasara na INA UKATA wa MTAJI...😂😂😂😂😂😂😂😂😂😭 ! MKULU ajaye ATAPATA TAAAAABU sana,atakuta BOTI lina MASHIMO hatari.. Mungu atunusuru. https://t.co/pQyTW5CQ4y
We ndo fala kweli badala walindwe wananchi wanaotekwa kila siku na yeye ndo anaigizwa watekwe na wateshe badala yake mtesaji ndo unataka alindwe! Kweli we ****
Moyo Wenye Huruma
Ni dawa Kwa Wenye Machozi,
kila aonaye Thamani Ya mwenzake
Hupata thawabu ktk ufalme wa Mungu,
Najua Si rahisi Kuishi Bila Kikwazo Ktk Maisha
Napenda kukuomba radh kwa lolote nililo wahi kukukosea au kukuudhi maana naelekea ktk mwezi mtukufu wa ramadhani, kama huna kinyongo...
Kipindi cha jk sikuwahi kusikia majigambo mengi sana na sidhani kama hiki cheo cha msemaji mkuu wa serikali kilikuwepo kama kilikuwepo basi very strategic na scienrific siyo hili lijamaa la leo.
Yaani hata wakizindua choo lazima wasema tumetekeleza. Sijawahi kuona serikali ya ajabu kama hii...
Ajira siyo kipaumbele cha serikal hii. Trump anapigana kila kukicha kuongeza ajira lakini huyu anapigana kumaliza ajira zote. Vijana amkeni pingine huu udictator. Siku moja nilimsikia akisema eti dada yangu alikufa hata watanzania wote wakifa sijali
Wimbi la kupoteza ajira taz limekuwa gonjwa kuu ndani ya taifa letu leo kampuni ya magazeti ya mtanzania imetangaza kutochapisha gazeti lao na badala yake watalichapisha kwa kupitia mtandao (social media) Kutoka uuzaji wa nakala ya gazeti (printcopy) takribani wafanyakazi 20 watapoteza ajiri hii...
Wimbi la kupoteza ajira taz limekuwa gonjwa kuu ndani ya taifa letu leo kampuni ya magazeti ya mtanzania imetangaza kutochapisha gazeti lao na badala yake watalichapisha kwa kupitia mtandao (social media) Kutoka uuzaji wa nakala ya gazeti (printcopy) takribani wafanyakazi 20 watapoteza ajiri hii...
Unemployment rate in tanzania is 67% according to IMF.
This implies that no market at all in whatsoever bussineas one can make.
Consumption or purchasing power by leople has gone down. That's why small bussiness have shut down
All opportunied are banned through huge tax imposes on everything you can do
Sometimes you have to use your brain. One of the functions of any government is to pave the way for opportunities to flourish but on contray this fake government has made all macro economic factors not working...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.