Ikitotanzira
Member
- Feb 12, 2019
- 24
- 151
Wimbi la kupoteza ajira taz limekuwa gonjwa kuu ndani ya taifa letu leo kampuni ya magazeti ya mtanzania imetangaza kutochapisha gazeti lao na badala yake watalichapisha kwa kupitia mtandao (social media) Kutoka uuzaji wa nakala ya gazeti (printcopy) takribani wafanyakazi 20 watapoteza ajiri hii yote inaonyesha hali ya uchumi kuwa ngumu wafanyakazi wa gazeti la mtanzania hawajapata mshahara kwa miezi 6 mfurulizo kwa hali hii tanzania na watanzani wapi tunaelekea