Hujasema hiyo BPH ina ukubwa gani ama hali ipi (anakojoa damu ama)ili usaidike? Inatibika kwa chakula na mimea tiba. Nina ushuhuda so wahi kabla haijaheuka kuwa saratani
Baada ya kuandaa katiba na muhtasari andaa CV za viongozi na picha zao kisha nenda kwa afisa maendeleo ya jamii wa kata.atakusainia documents zako na kukupeleka kwa msajili wa wilaya/halmashauri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.