Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook amesema yupo tayari kuomba silaha kwaajili ya kuilinda Tanzania dhidi ya tishio lolote la usalama na amani kwani aliwahi kufanya hivyo mwaka 1990.
"Mwaka 1990 nikiwa JKT, Chimala, Mbeya, nilikaa miezi 3 nikiwa na bunduki kulinda madaraja ya reli na barabara pale dhidi ya tishio la makaburu wa Afrika Kusini. Leo hii niko tayari kuomba silaha kulinda Taifa langu dhidi ya tishio lolote la usalama na amani ya Tanzania kutoka kwa maadui wa sasa, ambao sisi wengine tunawajua!"
View attachment 3511350
Mnywa Gongo huyuMkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook amesema yupo tayari kuomba silaha kwaajili ya kuilinda Tanzania dhidi ya tishio lolote la usalama na amani kwani aliwahi kufanya hivyo mwaka 1990.
"Mwaka 1990 nikiwa JKT, Chimala, Mbeya, nilikaa miezi 3 nikiwa na bunduki kulinda madaraja ya reli na barabara pale dhidi ya tishio la makaburu wa Afrika Kusini. Leo hii niko tayari kuomba silaha kulinda Taifa langu dhidi ya tishio lolote la usalama na amani ya Tanzania kutoka kwa maadui wa sasa, ambao sisi wengine tunawajua!"
View attachment 3511350
Sasa hivi kaburu anayeua watanzania ni CCM!Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook amesema yupo tayari kuomba silaha kwaajili ya kuilinda Tanzania dhidi ya tishio lolote la usalama na amani kwani aliwahi kufanya hivyo mwaka 1990.
"Mwaka 1990 nikiwa JKT, Chimala, Mbeya, nilikaa miezi 3 nikiwa na bunduki kulinda madaraja ya reli na barabara pale dhidi ya tishio la makaburu wa Afrika Kusini. Leo hii niko tayari kuomba silaha kulinda Taifa langu dhidi ya tishio lolote la usalama na amani ya Tanzania kutoka kwa maadui wa sasa, ambao sisi wengine tunawajua!"
View attachment 3511350
Eti nae ni 🦷Ana hofu kwamba kibibi akiondolewa ugali wake utamwagika
Kama adui unamjua si uende ukamkamateMkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook amesema yupo tayari kuomba silaha kwaajili ya kuilinda Tanzania dhidi ya tishio lolote la usalama na amani kwani aliwahi kufanya hivyo mwaka 1990.
"Mwaka 1990 nikiwa JKT, Chimala, Mbeya, nilikaa miezi 3 nikiwa na bunduki kulinda madaraja ya reli na barabara pale dhidi ya tishio la makaburu wa Afrika Kusini. Leo hii niko tayari kuomba silaha kulinda Taifa langu dhidi ya tishio lolote la usalama na amani ya Tanzania kutoka kwa maadui wa sasa, ambao sisi wengine tunawajua!"
View attachment 3511350
Alishawahi kuomba silaha kulinda HAKI?Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook amesema yupo tayari kuomba silaha kwaajili ya kuilinda Tanzania dhidi ya tishio lolote la usalama na amani kwani aliwahi kufanya hivyo mwaka 1990.
"Mwaka 1990 nikiwa JKT, Chimala, Mbeya, nilikaa miezi 3 nikiwa na bunduki kulinda madaraja ya reli na barabara pale dhidi ya tishio la makaburu wa Afrika Kusini. Leo hii niko tayari kuomba silaha kulinda Taifa langu dhidi ya tishio lolote la usalama na amani ya Tanzania kutoka kwa maadui wa sasa, ambao sisi wengine tunawajua!"
View attachment 3511350
Ni haki yakeMkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook amesema yupo tayari kuomba silaha kwaajili ya kuilinda Tanzania dhidi ya tishio lolote la usalama na amani kwani aliwahi kufanya hivyo mwaka 1990.
"Mwaka 1990 nikiwa JKT, Chimala, Mbeya, nilikaa miezi 3 nikiwa na bunduki kulinda madaraja ya reli na barabara pale dhidi ya tishio la makaburu wa Afrika Kusini. Leo hii niko tayari kuomba silaha kulinda Taifa langu dhidi ya tishio lolote la usalama na amani ya Tanzania kutoka kwa maadui wa sasa, ambao sisi wengine tunawajua!"
View attachment 3511350
Wa mifugoHuyu ni daktari wa nini?
Chawa huyo hakuna daktari wa hivyo kwanza anachafua taaluma ya madaktari ilibidi umoja wa madaktari utoke na kumkemea haraka sana..Huyu ni daktari wa nini?
Hata mwituni wanyama hulinda himaya zao,hivyo sifahamu,silaha utajilinda dhidi ya nani?Kwani hapa hujasema ni nani adui wa taifa hili kwa sasa?Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook amesema yupo tayari kuomba silaha kwaajili ya kuilinda Tanzania dhidi ya tishio lolote la usalama na amani kwani aliwahi kufanya hivyo mwaka 1990.
"Mwaka 1990 nikiwa JKT, Chimala, Mbeya, nilikaa miezi 3 nikiwa na bunduki kulinda madaraja ya reli na barabara pale dhidi ya tishio la makaburu wa Afrika Kusini. Leo hii niko tayari kuomba silaha kulinda Taifa langu dhidi ya tishio lolote la usalama na amani ya Tanzania kutoka kwa maadui wa sasa, ambao sisi wengine tunawajua!"
View attachment 3511350
Haya maneno ndiyo yalisababisha mauaji ya kimbari kule Rwanda! Na Gen-Z nso wanaweza kusema kusema hivyo na akapatikana wa kuwafadhili silaha, patachimbika!Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook amesema yupo tayari kuomba silaha kwaajili ya kuilinda Tanzania dhidi ya tishio lolote la usalama na amani kwani aliwahi kufanya hivyo mwaka 1990.
"Mwaka 1990 nikiwa JKT, Chimala, Mbeya, nilikaa miezi 3 nikiwa na bunduki kulinda madaraja ya reli na barabara pale dhidi ya tishio la makaburu wa Afrika Kusini. Leo hii niko tayari kuomba silaha kulinda Taifa langu dhidi ya tishio lolote la usalama na amani ya Tanzania kutoka kwa maadui wa sasa, ambao sisi wengine tunawajua!"
View attachment 3511350
walikuwa wanakuja kuiba maparachichi hata mimi nilikuwepo!😂😂Kwa hiyo Makaburu walikuwa wanatoka South Kuja Kuiba Vyuma chakavu Mbeya?