Recent content by ihama

  1. I

    JamiiForums Tanzania Naipa Serikali Siku 7, kama Mkuu wa Majeshi hatajitokeza...

    Sasa badala ya kwenda kwenye vyombo vya habari ukatangaze kua UNAIPA SERIKALI SIKU 7 unakuja kuweka pumba yako JF Km vp nenda ITV Ukatoe rai yako
  2. I

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    mi mwenyw nna tatizo km lako but alie fanikiwa kuipa atueleze amefanyaje
  3. I

    JamiiForums Tanzania Wale wote walio apply special diploma&waliochaguliwa special diploma udom

    So zile zilizopo kwny web now hazituhusu? maana mi nime log in ad nmechoka yn haifunguki
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mkemia ni nani hasa?

    umenipa moyo sana mkuu Pokea like 10000000
  5. I

    JamiiForums Tanzania wale wa MUHIMBILI UNIVETSITY...?

    unaweza ukawa mshamba kwa muda kwa usicho kijua.!! Naomba kuulza MUHAS Wanatoa diploma yyte ya course za Afya?
  6. I

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Soon tunaingia chuo dahhh!!! Asante mungu,
  7. I

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Ni kwa science tuu
  8. I

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    Samahan wakubwa kwa kuwaingilia naomba kujua hv CO anakula shingp?
  9. I

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    Msaada wakuu nimepangiwa special diploma in phy & Bios ila nahitaji kubadili nikasome Bios & Chem Au phy & Chem Je inawezekana kubadilisha masomo??
  10. I

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    Nadhani mpaka muda wa kuthibitisha upite ndo bodi watatoa utaratibu kwahyo sikilizia kwanzia kwny trh 16..nakuendelea
  11. I

    JamiiForums Tanzania First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

    0717476868 First year udom, add me
  12. I

    JamiiForums Tanzania Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    Ok bado cku 20 na siku ya 21 tutakua tunajadili mengine humu either Magufuli ama Lowasa mi sijui NAPITA ZANGU MIE SINA CHAMA nyie komaeni tu mtatoka
  13. I

    JamiiForums Tanzania Baada ya UDOM je Safari nyingine Zipo?

    mkataba ni miaka 5 wadau kwamimi napaona parefu sanaa
  14. I

    JamiiForums Tanzania Baada ya UDOM je Safari nyingine Zipo?

    Bro unatutisha so ukiingia kwenye ualimu ndo basi tena huwez somea tena kitu kingine?
  15. I

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    hilo tangzo linahusu nn nimeliche but cjalielewa kbx
Back
Top Bottom