Baada ya UDOM je Safari nyingine Zipo?

Baada ya UDOM je Safari nyingine Zipo?

Tatizo moja la ualimu, ukishaingia huwezi kutoka,

Mkuu je una uhakika au ndo sheria za ualimu?
Kumbuka kuwa. Yeye haikuwa plan zake kusomea ualimu. Ila hana jinsi kwa sasa. Inabidi apambane kiume.

Bro unatutisha so ukiingia kwenye ualimu ndo basi tena huwez somea tena kitu kingine?

Usihofu. Wajuzi waja kwa uchambuzi yakinifu kwa hili.

No hawezi pata masomo ya afya kutokana na masomo anayo enda somea...ila ina wezekana kusoma dgr kty kingine..vinavyo hucu math n phyz...kwani magufuli ali anza vipi alianza hivhv n diplm y ualim afu baady aka soma masuala y uanakemia coz yy alisoma math na chmstry....co ina wezekana bty cio udaktr...coz kule udom wata soma masomo y advnc...kikubwa apige gpa nzr..thnx

Ana daraja "C" ktk somo la baiolojia. Hii imekaaje sasa?

Muulize yafuatayo..kama amekwenda kusoma iyo kozi UDOM kwa udhamini wa bodi basi atatakiwa kufanya kazi kwa miaka 3 hadi 5 kwa mujibu wa masharti ya bodi...akimaliza anaweza kusoma degree ya udaktari sio diploma tena.
Hawa ni hawa wa kwa mujibu wa sheria. Yaani wamepelekwa tu huko.
Na ni vigumu kumaliza dp ya ed af usome degree ya udactar never ever

Mkuu kwanini haiwezekani daima?
Je ilikutokea au ndo stori tu?

Kufanya hata miaka miwili..buty hawezi somea udaktr...broo

Nitafurahi ukinipa sababu ili nimjuze. Naomba twende with proof.

Bty digri y kitu kingne ana weza soma cio edctn tena

Yeye hataki kuwa mwalimu. Ataenda kwasababu hakuna namna. Ila baada ya hapo anajitosa ktk uganga na utabibu.

Yah ni kweli itabidi akosome kwanza clinical officer.

Hii ipoje mkuu? Nijuze zaidi. Ili nimueleweshe

Hapo sawa

Yeah. Karibu

M wame nipanga Math n chmstry bty km ita wezekana dgr ni chukuee kty kingn..

Soma ndugu yangu. Utabadili baadae mkuu. Vumilia tu... sasa.


Mkataba wahao madogo ni kufanya kazimiaka mitano then kama utaenda kusoma kitu kingine ni wewe tu.Udaktari inawezekana,lakinimaliza hiyo diplomaya miaka mitatu then tumikia miaka mitano ndo uachanena ualimu.

Ahsante kwa ujumbe wako mkuu. (NOTED)

Usipotezeee mudaaa ukimaliza apply open univsty then unpga dgrii nyingineeee......uku ukiwa unafundishaaaa maana ukisubri..miaka mi 5 muda utakuwaa umeeenda saanaa
What a brilliant idea. Stay blessed boss.


Mkataba..tuna fundsha miaka 2 bna


Mimi sijui na yeye hajui. Lengo LA thread hii mnijuze nyie wakuu. Ili nimpe taarifa



Kwanza join instructions zimetoka? Wakuu maana naona wanaongeza mda 2 wa kuthibitisha baada ya kutoa fomu za kujiunga



Mkuu karibu kuchangia. Maada tahsusi.

Ila tukubaliane kitu kimoja kuwa baada ya kuachana na ualimu hawezi kwenda MD, itabidi aanzie ngazi ya Clinical Officer kwanza...au siku hizi mambo yamerahisishwa?


Nimekuja hapa kufata watu kama nyie wakuu. Utotole mkuu nijuze Zaidi.







Yours , Truly.. X™
 
mkuu huyo dogo asome tu ualimu...hizo "c" wala hazitamsaidia kupata cozi za afya... maana siku hizi wengi waliofaulu vizuri zaidi yake huwa hawaendi advance nao wanataka kozi hizo za afya.
 
Back
Top Bottom