lettymololo
Senior Member
- Mar 17, 2014
- 132
- 11
Kama una account ya CRDB huwezi pata mkopo
Sio kweli mimi natumia CRDB na sijawahi kosa mkopo nipo UDOM
Kama una account ya CRDB huwezi pata mkopo
Kama una account ya CRDB huwezi pata mkopo
Mbona sisi hatujatumiwa hizo sms
Et ndugu huyu jamaa mbona anatuchanganya ina mana crdb haitumiki au
ni kwaliosoma science tu au mpaka walisoma arts
Anaejua atufahamishe
ni kwa science tuu
joining tayar wapendwa katka udom
Joining tayar wapendwa katka udom
jaman au n kwa form xix tu maana nmejarbu xana kufungua imegoma