Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

habari zenu wakubwa Nilikua naulza kwa walio chaguliwa special diploma ualim ivi inakuaje ukifika chuon af bado mkopo hujapata haiwezi kusumbua sana au kuchukua mda mrefu kupata mkopo
 
Jamani mimi mbona sijaelewa tunatakiwa kulipia ada kiasi gani naombeni mnieleweshe
 
WAKUU najaribu kuedit my INFO lakin Page YA KUEDIT INFO HAIFUNGUKI INARUD KWENYE PAGE YA ALIS LOG IN,NIN TATIZO? ushaur wako tafadhar

mi mwenyw nna tatizo km lako but alie fanikiwa kuipa atueleze amefanyaje
 
Edit ukimaliza save then utaona download documents zikiwa ktka link 4
 
Kila kitu wamewawekea kwenye admission letter zenu ukifungua kwenye form walochanganua cost mbali mbali. Fungua letter yako nenda kwenye mambo ya ada halafu angalia kipengele cha other diploma utaona ada ni 900,000/= Tsh.
 
Back
Top Bottom