Recent content by IgweMulokozi

  1. I

    JamiiForums Tanzania Ubabaishaji Kituo cha Ufundi cha Tecno

    Mimi natumia techno R7 zaidi ya mwaka na nusu ni iko fresh na kuna mtu anataka nimuuzie
  2. I

    JamiiForums Tanzania Ubabaishaji Kituo cha Ufundi cha Tecno

    Mkuu hii ya kipimo cha fimbo ya Ndugai kimenichekesha sana
  3. I

    JamiiForums Tanzania Ufoo Saro na Malumbano ya hoja

    Mimi nilikuwa natafuta busara yake ya kumuingilia mtu bila sababu za maana sikuiona nikafikiri labda mimi nd'o sielewi kumbe wengi mliliona. Nafikiri pia ITV na hata vituo vingine vijfunze kuweka watu sahihi kwenye vipindi vyao wakiongozwa na maswala ya mvuto , uelewa , utanashati , ubunifu na...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kaenda wapi msanii Nina wa Kaole?

    Nina aliolewa anaishi maeneo ya Kinondoni karibia na uwanja wa Garden na mambo yake safi katulia analea mumewe na watoto
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mahujaji watano (5) waliotokea Tanzania wamethibitika kufa huko Saudi Arabia

    Kwahiyo kwato kutokugawanyika nd'o kunamfanya ngamia kuwa haramu? Nadhani mkuu umechanganya msimamo wa imani ya madhehebu yako na uhalisia wa kitoweo. Marufuku zinazowekwa na imani fulani siyo lazima zifanye kazi ktk imani nyingine au nyanja nyingine za maisha. Kuna haja ya kutumia akili ya...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Biblia (bible): Tukutane hapa

    Hoja ya uwepo na kutokuwepo kwa Mungu itakuwepo siku zote. Mimi nadhani pande zote zina maswali muhimu mawili ya kujibu kuhusu uwepo au kutokuwepo kwa Mungu. Kwa wanaoamini uwepo wake wanatakiwa kuthibitisha na kwa wasioamini uwepo wake wanatakiwa kuthibitisha kuwa hayupo
  7. I

    JamiiForums Tanzania Nimeamini sasa, Rais Kikwete amechoka

    Hii imenichekesha sana mkuu.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Mons Liberatus Sangu ateuliwa na Papa kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Shinyanga

    Uko sahihi. Ni cheo cha heshima baada ya kufanya jambo au kazi kubwa na muhimu iliyotukuka ktk kuujenga Ufalme wa Mungu na Kanisa lake.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Picha: Huyu ni nyoka wa aina gani? Nimemuua hapa home

    Duuuh...! Pole na hongera mkuu. Mshukuru sana Mungu. Simjui huyo nyoka jina lake ila ni kati ya nyoka wenye sumu kali sana.Nilishaona mtu aliyegongwa na aina hiyo ila tulimuwahi kwa tiba. Angalia kama unafuga kuku au maeneo jirani yanfugwa kuku hupenda kula mayai na vifaranga. Pia kama kuna...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Lembeli: Walitaka kunihonga millioni 50 Nifiche mauaji ya Tokomeza, Bulaya akaniambia kataa

    Usisahau kuwataja na waliompa ili aadhibiwe mpokeaji na mtoaji
  11. I

    JamiiForums Tanzania Malinzi na kamati nzima ya TFF naomba usiku huu mtuage rasmi

    Mimi sijui kutukana mtu. Hapo sikutetea mtu nataka watu wasiendekeze ukabila tuangalie matatizo ya msingi na kimfumo ili kukwamua soka letu. Hata ukinitukana haitasaidia kuinua soka letu.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Dr. Remmy Ongala alikuwa mwanaharakati

    ‘‘ I want to go home , i need to go back home , good or bad still home...''
  13. I

    JamiiForums Tanzania Malinzi na kamati nzima ya TFF naomba usiku huu mtuage rasmi

    Kama historia ni somo ulilofaulu shuleni naomba ujibu maswali haya 1. Muhidin Ndolanga aliiongoza FAT kwenye 90s , je, ni muhaya? 2.Rage ( Aden ) alikuwa katibu FAT wakati huo , je, ni muhaya? 3.Boniface Wambura alishawahi kuwa katibu pia je; ni muhaya? Kuna mafanikio yoyote ya maana ktk soka...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Comparison between Kenya and Tanzania (Tofauti kati ya Kenya na Tanzania)

    Afadhari umwambie. Wakati wa unyonge umekwisha. Nashangaa mtu anaishambulia nchi yako halafu eti anasema anakubaliana na adui yake. Watu wanatakuwa kuitetea nchi yao kwa gharama yoyote.Udhaifu wetu nd'o nguvu yetu ya kutusogeza kwenye maendeleo ; kamwe hatutakubali udhaifu wetu uwe unyonge wetu...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Comparison between Kenya and Tanzania (Tofauti kati ya Kenya na Tanzania)

    Kenyan's are jealousy of our natural resources and our unity. We accept the truth that we have our own challenges of which we are solving ourselves but we are not ready to compete or compare with our neighbors. We are confident enough. Comparison mostly is a sign of inferiority complexes ...
Back
Top Bottom