Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,529
Nahsi kma vile anafagilia kibarua hv...yan haiwezekani mtu anatoa hoja kisha yeye anamkatisha,unajua mtu anapotoa point zake then wewe ukamkatisha kinachofuatia ni kwmb yule mtoa hoja huwa anachanganyikiwa hv yan unamtibua.Yeye inapofikia mtoa hoja ametoa vielelezo kukazia hoja ikiwa ni pamoja na kutajwa mtu au chama,huyu dada huwa mkali sasa sijui malumbano gani yasiyoruhusu hata kutoa mifano...me naona tumsamehe tu ila uzuri ni kwamba kwa sasa wa kumdanganya hayupo ni mabadiliko tuu japo yeye hayataki..
Usikute Ndiyo maana alilambwa shaba na jamaa yake.