Recent content by Igundu nsonda

  1. Igundu nsonda

    JamiiForums Tanzania Kisha Kuhani Mkuu akamtetea Bashite akisema...

    Duh!
  2. Igundu nsonda

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo yatenga bilioni 34.6 kwa wanafunzi 10,196 waliofanyiwa uchambuzi awamu ya kwanza 2017/2018

    Marapaaah! Mtoto wa mkulima umechaguliwa Chuo cha kulipia ada milioni na nusu kipato cha mzazi laki moja kwa mwezi halafu haujapata mkopo lazima uahirishe kusoma usubirie mwaka kesho zisi is Tanzania tukutane 2020 ila kwa wale mliokosa mkopo mkapige kazi kitaa hamna namna
  3. Igundu nsonda

    JamiiForums Tanzania Ni Msanii gani huwezi kuomba kupiga nae picha.

    Pumbavu uliyeposit kama huna chakupost si ulale
  4. Igundu nsonda

    JamiiForums Tanzania Majina ya mitaa Ujiji: Zitto ataka kuzipiga ukumbini, atulizwa!

    Yaan watu na kupenda misifa kama anataka aitwe jina ajenge shule aiite zitto kabwe high school
  5. Igundu nsonda

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe kwa tabia hii ipo siku utanitambua mimi ni nani

    Mwambie mkeo apange safari isiyojulikana aende na watoto ubaki nae ww rudi usiku asubuhi kazini nakupa wiki atakimbia
  6. Igundu nsonda

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe kwa tabia hii ipo siku utanitambua mimi ni nani

    Ww ndo unamaamuzi babu why mamamkwe akupangie kwako tena mpaka unasema umpishe unafikiri wote wenyemvi wanabusara wengine wazidiwa na watoto wa miaka4 fukuza huyo atakuvurugatyuu
  7. Igundu nsonda

    JamiiForums Tanzania SWALI: Tangu Prof. Ndalichako ateuliwe kuwa Waziri wa Elimu, ni kitu gani amefanya katika kuboresha elimu?

    Wangejua watu wavyomchukia kwenye secta Yake hata Leo angeomba kubadilishiwa nyambafu zake
  8. Igundu nsonda

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Petra Diamonds matatani kifedha

    Watakoma
  9. Igundu nsonda

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo msitusahau

    Kapu liko bureeeee
  10. Igundu nsonda

    JamiiForums Tanzania DAR: Polisi yaua watu 5 wanaodaiwa kuwa ni majambazi

    Yaani wafikatyuu mala paaa uuuuuw! Wakaanza kupambana polisi nyie mungu anawaona hatakueleza walitaka kuvamia wapi hamna
  11. Igundu nsonda

    JamiiForums Tanzania Polisi: Yeyote mwenye taarifa za uhakika za aliyemlenga Nape kwa bastola atujulishe

    Zamani walikuwa wapi wasitufanye watoto polisi nyienyie ndo mnahusika Leo ndo mmejua
  12. Igundu nsonda

    JamiiForums Tanzania Wanaomtukana Rais mtandaoni sio wote ni wenye vyeti feki, kuna sisi wengine ambao hatupendi tabia hiyo

    Mwandishi ninawasiwasi na ww itakuwa ulikuwa ni mtoto usiependwa kwenu acha upuuz
  13. Igundu nsonda

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, watumishi wa umma 'wakijipandishia' mishahara yao usiwalaumu

    2020 tukutane sheli
  14. Igundu nsonda

    JamiiForums Tanzania Nilimtongoza kiutani sasa kaniganda

    Pambana na hali yako
Back
Top Bottom