Recent content by igomekiamba

  1. igomekiamba

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wanaongoza kwa kuchepuka kuliko wanawake?

    Hilo ni liroho la uashereti tu na uzinzi!
  2. igomekiamba

    JamiiForums Tanzania Dr Shika amekamilisha leo malipo ya bima kwa ajili ya kutumiwa fedha zake kutoka nchini Urusi

    Niko darasani naendelea kujifunza
  3. igomekiamba

    JamiiForums Tanzania ZANU-PF kumfukuza uanachama Robert Gabriel Mugabe kesho tarehe 19.11.2017

    Wakati mwingine mambo magumu yanamalizwa kirahisi sana
  4. igomekiamba

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Prof. Kitila Mkumbo kuchuana vikali na Nyalandu jimboni

    Pale Nyalandu hata aanzishe chama chake Leo na agombee anashinda kwa kishindo
  5. igomekiamba

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba ukitaka kusafirisha Kitanda mkoa mmoja hadi mwingine unahitaji Kibali cha Maliasili?

    Hapo ni sawa kuomba kibali cha kusafiriri na ubwabwa kwa zuio la mchele
  6. igomekiamba

    JamiiForums Tanzania Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

    Mm nataka mnene,ni pm kama vipi nikuoe
  7. igomekiamba

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wa Tanzania wapo hivi?

    Mm niko likizo nasubiri shule zifunguliwe nirudi darasani
  8. igomekiamba

    JamiiForums Tanzania Ninadaiwa kodi ya nyumba na sina kazi kwa sasa, msamaria mwema nisaidie

    Pole ndugu yangu,naamini suluhu itapatikana humu usiku wa leo
  9. igomekiamba

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Afya Fore Plan Clinic chafungwa

    Hapa ni kama tunadandia kwa mbele maana hii ni habari ya nov 2014
  10. igomekiamba

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

    Bowlibo! Hakuna anayetwaliwa kwenda mbinguni,wote wanaokufa tunawafukia kaburini hadi kuja kwa Yesu mara ya pili,hili halina Msabato na asiye msabato,wote tunafukia kaburini
  11. igomekiamba

    JamiiForums Tanzania Maoni ya wanasheria kuhusu tukio la Makonda

    Ahamishiwe arusha mjini hapa kwanza,
  12. igomekiamba

    JamiiForums Tanzania Arusha: Hongera Monaban (Mollel), CCM umeibeba vya kutosha

    Tatizo lao vichwa ngumu na wanazungukana wenyewe,wakaisome namba yao huko nyambafu!
  13. igomekiamba

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hataki niende kazini

    Tatizo unampapasa huyo,piga dozi ya ukweli atakufukuza mwenyewe
  14. igomekiamba

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    Pamoja na kutuletea polisi kibao,migambo kibao,trafiki wakawa polisi wa kawaida na magari ya maji ya kuwasha kila kona ya jiji la arusha,sisi hatukuogopa na tumefanya maamuzi yetu,arusha tunajitambua!
Back
Top Bottom