Suala la kuchepuka kwa wanandoa kwa miaka ya hivi karibuni limekua ni kawaida kwa wanandoa na bila kupepesa macho wanaume ndio tunaoongoza zaidi kwa kuchepuka kuliko wanawake.
Mwanaume anaweza akawa na mchepuko au michepuko nje na mkewe asifahamu kabisa kama muwewe anachepuka.
Mara nyingi wanaume tumekua na usiri mkubwa sana pindi tunapochepuka tofauti na wanawake.Mwanamke akiwa na mchepuko nje lazima tu utajua mana ataanza kubadilika kitabia na dharau zitaanza ndani ya nyumba tofauti na wanaume ambapo mwanamke anawezakaa hata miaka mitatu na asijue kama muwewe anatoka nje ya ndoa.
Nini hasa husababisha hali hii kwa wanawake kushindwa kujizuia kuficha siri zao pindi wanapochepuka?