Phone specification
Internal storage 16 Gb
Camera 16Megapixel both
Rom 3Gb
Fingerprint security
Full metal body
Adroid 7.0
Full High definition display
4G LTE network
4LED flash for low light enviroment
Fast charging
Wide angel front camera for group selfies
Betry 3200 mAh Li- polymer...
Phone specification
Internal storage 16 Gb
Camera 16Megapixel both
Rom 3Gb
Fingerprint security
Full metal body
Adroid 7.0
Full High definition display
4G LTE network
4LED flash for low light enviroment
Fast charging
Wide angel front camera for group selfies
Betry 3200 mAh Li- polymer...
Mtoa post ulitaka kutuonyesha bei ya umeme au mgawanyo wa pesa pindi unaponunua umeme. Sijakuelewa naona tu unajenga hoja badala ya kutuonyesha bei za umeme kama zimebadilika kama kichwa cha habari hapo juu. Tujadili mambo muhimu kama.ni siasa sema tukupatie mchango uende wenzio wako Dodoma
Hahahaha nadhani kwenye msiba huu kuna kitu cha kujifunza hasa wasanii wa kike. Juzi msanii Roma alisema watu wasipost picha za uchi za masogange sasa wapost zipi wakati enzi ya uhai wake alikuwa anapiga picha za namna hiyo. Na kanisa la wasabato hili pia mmefunika kombe mwanaharamu apite.
Narudia tena kwa hili hauhitaji kuwa na degree kujua tofauti ya million 600 na million 80 just simple calculation. Na tarehe 29 tunawapiga tu bora tupoteze kwa majimaji kuliko mikia fc
Hauhitaji degree kujua tofauti ya Ml 600 na Ml 80 just simple hata wa chekechea anaelewa haya mambo na tarehe 29 tuko imara bora tufungwe na majimaji kuliko mikia fc
Specification zake
5.5-inch IPS Display, 1080 x 1920 pixels (400ppi)
1.5GHz octa-core Mediatek MT6750T CPU with 2GB RAM
Android 7.0 (Nougat) with HiOS 2.0
16GB Storage with support for memory card up to 128GB
16MP Rear Camera and 16MP Front Camera
4G LTE (up to 300Mbps)
Fingerprint...
Ipo Tecno Camon Cx mpyaa kabisa
Specification zake
Full Metal Body
Android 7.0 Nougat with HiOS 2.0
Full HD display with 2.5D Glass screen
MT6750T Octa-Core 1.5GHz
3GB RAM
Dual SIM Card with dual standby
Super Screenshot
Fingerprint
16.0MP front cameras
16.0MP FF back camera, with...
Wadau wote wa JF natumai ni wazima wa afya,
Binafsi kila mtu anayo malengo yake aliyojiwekea na muda wa kuyatimiza. Malengo yangu yametimia na sasa nahitaji mke ili kujenga familia imara yenye upendo wa dhati.
Wasifu wa mke
Awe mkristo na mcha mungu kweli kweli.
Awe mwenye mapenzi ya dhati na...
Habari wadau wote hasa wataalamu wa mambo ya mahisiano. Hoja yangu ni kwamba kuna haja au umuhimu wa kusalimiana na mpz au mke mliyelala pamoja wakati wa asubuhi mnapoamka???
Inaweza kuonekana kama hoja ndogo lakini baadhi inatutatiza nikiwemo na mm. Msaada wenu utakuwa na manufaa kwa wote...
Majina tunayowaita wanawake wanaoolewa inawezekana kuwa yanachangia sana kudidimiza hadhi na heshima ya wanawake na kuonekana kama wapishi na wahudumu wanaowatumikia wanaume. Nimeona niweke uzi huu ili tuyajenge. Sina lengo la kupotosha au kupendelea upande wowote. Naomba kuwasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.