Recent content by Igagaga

  1. I

    JamiiForums Tanzania PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

    Ila hujasema kwamba ukiomba kazi #NSSF kama jina lako sio Mohammed au Rashid hupati kazi. Balance mzani ueleweke, usifumbe jicho moja.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya rufaa yamfutia kesi ya Ugaidi Wilfred Lwakatare

    Mwigulu hakupeleka ushahidi wake? Au anasubiri mbinguni ndio apeleke?
  3. I

    JamiiForums Tanzania Rais hashinikizwi, anaamua kwa maslahi mapana ya nchi

    Udc hupati, asipowawajibisha wezi bunge linatamng'oa pinda tena mwez January tu
  4. I

    JamiiForums Tanzania Rais tunahitaji hotuba ya mwezi November

    Hotuba tayari, ilihusu tofauti ya #Busha na #tezidume . Sasa mambo ya Escrow mtajibeba nimeshapga bilioni zangu kadhaa za kustaafia. Au mnataka nistaafu maskini? Kwataarifa yenu muhongo aking'oka namweka Riz1... Mtakoma,werema kafanikisha dili langu,maswi vilevile. Sasa nani kasema niwatose?
  5. I

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nina sharti moja tu kurudi CHADEMA

    Binafsi naamin hata kama zitto atarudi atakuwa mpole,mwenyetahadhari na matendo yake. Kukisambaratisha chama cha upinzani ni dhambi kubwa. Arudi kundini,tusonge mbele
  6. I

    JamiiForums Tanzania U-turn ya Kikwete kwenye Katiba ilisababishwa na ESCROW ACC

    Kama ni hasara, taifa linahasara kuwa na rais incompetent kama huyu. Yuko angani mali za nch zinagawanwa kama njugu. Tujifunze
  7. I

    JamiiForums Tanzania Kutokana na ESCROW: CHADEMA wapata mwaliko kutoka kwa spika wa umoja wa Bunge la ulaya

    Ufisadi wa ccm unawapa kick chadema bure. Endeleeni kuwaibia wananchi, itafika hatua kikwete atakosa pa kwenda
  8. I

    JamiiForums Tanzania Mh Pinda umeliona hili?

    Wameua waislam mno hao, waje uraiani wapate adhabu
  9. I

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa rais unatia shaka

    Wewe ukituma wanao wakaibe, wakakamatwa, ukaletewa uwahukumu, utawapa adhabu gani? Mwacheni rais Apumzike
  10. I

    JamiiForums Tanzania Masaa 48 yajayo tunaitazamia Tanzania mpya na viongozi wapya, Thank you Prof. Kikwete

    Do u thnk kikwete hawajui wez mpaka ripoti ya CAG? mimi mpaka nione kwa macho yangu.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Diwani wa CCM afariki

    Fisadi au wakala wa mafisadi akifa hakuna haja ya kuomboleza. Ni discount kwa wanyonge
  12. I

    JamiiForums Tanzania Sakata la ESCROW: Pingamizi kwa Mawaziri wakuu kushika urais

    Sioni mgombea ndan ya ccm
  13. I

    JamiiForums Tanzania ESCROW: Bernard Membe anapofanya juhudi za kuiangusha serikali yake

    Pinda anajichafua mwenyewe kwa udhaifu wake, angekuwa amechukua hatua zamani hata kabla ya bunge
  14. I

    JamiiForums Tanzania Kikao cha dharula: Kitimoto kwa wabunge wa CCM wanaopigia kelele Escrow

    Tunakushukuru mwigulu kwa kutupatia taarifa. Licha ya kwamba ulikuwa unajifagilia, tumepata vitu. Endelea kutupa updates
  15. I

    JamiiForums Tanzania Mwandosya aitwa Dar kwa shughuli maalum

    Hata awe mwandosya, chamsingi tunataka kumuona pinda aking'oka na baraza lake
Back
Top Bottom