Mwandosya aitwa Dar kwa shughuli maalum

Mwandosya aitwa Dar kwa shughuli maalum

Hata awe mwandosya, chamsingi tunataka kumuona pinda aking'oka na baraza lake
 
Kuitwa ni breaking news!!!!!! mbona wanaitwa wengi? Sioni jambo hilo kuitwa breaking news jamani. Huu ni umbea tu usio na kichwa wala mkia.
 
Wanazidi kukosea, huyu naye ni mpole sana hawezi kuibeba hii serikal mbov na mzigo ya prof chikwete
 
mtasema sana mtaandika sana mtaunda uwongo sana hakuna serikali kuanguka wala hakuna chochote
 
Mwandosya anajiuguza aitwe na nani? Mleta uzi ww ni mdau wake sasa kwa taarifa yako pinda hana kosa na hajiuzulu
 
Back
Top Bottom