MTU WA NJIA HII
JF-Expert Member
- Jun 18, 2013
- 237
- 52
Diwan wakata ya Mwabaluhi mjini Sengerema Mwanza mh.Paul Lubongeja akijulikana zaidi kwa jina la Paluma amefariki usiku wa kuamkia leo tarehe 22/11/2014.Mazishi yatafanyika kwao Katunguru.Wananchi wa Mwabaluhi hawatakuwana diwani karibu mwaka mzima.