Recent content by IFUNYA

  1. IFUNYA

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko TRA: Kamishna wa Forodha Mtanganyika Said Athuman Kiondo aondolewa awekwa Juma Bakari Hassan kutoka Zanzibar

    ZRA ni Zanzibar Revenue Authority kwa kiswahili ni Mamlaka ya Mapato Zanzibar
  2. IFUNYA

    JamiiForums Tanzania Huyu Mzee mwana CCM Kutoka Mbeya ni nani?

    Inabidi awekwe kwenye tume ya kuchunguza mkataba wa bandari
  3. IFUNYA

    JamiiForums Tanzania Suala la Simba kuzindua jezi katika kilele cha Mlima Kilimanjaro sio suala la kimichezo ila ni la kiroho litakaloathiri sana siasa za Taifa letu

    Nimesoma nimeelewa ila tusubiri yajayo yatakuwwa mazuri kwa taifa letu. Mama anaona mbali na anatupenda na kutulinda kama Simba anavyolinda ufalme wake msituni. YAJAYO NI MAZURI TUSUBIRI MATOKEO.
  4. IFUNYA

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Madeni yananikisesa usingizi.
  5. IFUNYA

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Idara zote za Maji tuwape DP World kuongeza ufanisi

    Tutakuwa tumejinyonga wenyewe. Maana hatutaruhusiwa kusogerea maziwa yetu.
  6. IFUNYA

    JamiiForums Tanzania Bashe: Mazao ya Mkulima sio mali ya Umma, Waachwe wauze popote

    Mkuu mbona Morogoro ufuta umezuiwa kuvushwa kupelekwa Dar walikopata soko?
  7. IFUNYA

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    3:42
  8. IFUNYA

    JamiiForums Tanzania Kwa tabiri hizi, CCM tukiendelea kumchekea Rais Samia soon tutageuka kuwa wapinzani!

    Nchi hii iko mikononi mwa Mama Samia, tumuachie achape kazi. Najua hana roho mbaya kwa wapinzani. Iwapo wapinzani watashinda atawakabidhi nchi, ila wanaCCM hawataki. TUMUOMBEE
  9. IFUNYA

    JamiiForums Tanzania Kwa tabiri hizi, CCM tukiendelea kumchekea Rais Samia soon tutageuka kuwa wapinzani!

    Dr Samia Sululu Hassan ameletwa na Mwenyezi Mungu ili kuwakomboa Wa-Tanzania kutoka kwenye utawala wa JPM. Mola ampe maisha marefu mama yetu.
  10. IFUNYA

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbunge Shangazi ana ubia na Kampuni ya DP World

    Aende akauze za kwao Zanzibar maana inaonyesha huyu sio Mtanganyika. Kama anataka basi ziuzwe bandari zote za Jamhuri ya Muungano Tanzania (THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA). Au anaogopa serikali ya Zanzibar?
  11. IFUNYA

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni: Katika Mgomo wa wafanyabiashara, kosa la Mwigulu Nchemba ni lipi?

    Uliposema ambae hataki kuulipa kodi akaishi Burundi ulisikia au haaaukisia?
  12. IFUNYA

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuchumbia uhayani

    Hapo umempatia utaratibu sahihi.
  13. IFUNYA

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tottenham 0 VS Manchester United 4
  14. IFUNYA

    JamiiForums Tanzania Video: Kauli ya mwanachama huyu wa Chama Cha Mapinduzi inazidi kuwachanganya Watanzania

    Hivi ni kweli au anawatania wanachama wa CCM?
  15. IFUNYA

    JamiiForums Tanzania ‘Siwezi kulea mama mwingine, wakati wa kwangu nilishazika’. Kauli ya mke wa Jamaa!

    Mwanamke wa aina hiyo sio maana unapooa ni kuwa unaongeza mtu mwingine kwenye familia yenu. Inabidi mke kuheshimu wazazi wa upande wa mume, kwao tayari anakuwa amefutwa kwenye familia. Namshauri huyo jamaa aliepatwa na tatizo hilo akamfukuze huyo mke na kama watoto akitaka kwenda nao achukue...
Back
Top Bottom