Recent content by ifire

  1. I

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo mbinu kubwa ya kumjua kama Mpenzi wako wa Kike ni Msafi au Mchafu

    Hapana wewe mapenzi hujui
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mohammed Salah anyakuwa tuzo ya Mchezaji boraya PFA kwa msimu wa 2017/2018

    Kwani wanatafuta mchezaji wa miaka 10 au wa msimu?
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mohammed Salah anyakuwa tuzo ya Mchezaji boraya PFA kwa msimu wa 2017/2018

    Unaongea kwa mapenzi au unatizama kiwango?
  4. I

    JamiiForums Tanzania Baba yangu mzazi ana matumizi mabaya ya pesa ambayo sipendezwi nayo

    Kumpa pesa ni wajibu wako lakini ni kosa kubwa kumpangia matumizi unataka amgonge mama yako unaijua afya ya mama yako kwa undani? Hayo niya chumbani fanya yako kwake
  5. I

    JamiiForums Tanzania Baba yangu mzazi ana matumizi mabaya ya pesa ambayo sipendezwi nayo

    Nani alikwambia mzazi anatengewa bajeti? Pili nani alikwambia hela unayompa inamtosha? Tatu je ulimwambia kwamba umeweka utaratibu huo wa kumpa fedha? Ujue wazee wa kiswahili wanapenda sifa ambazo hawakuandaa mazingira ya kuzipata sasa usipokuwa makini msaada wako unaweza kuwa laana, ule...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

    Nani anawatuma kupekua sim za wake/wapenzi wenu?
  7. I

    JamiiForums Tanzania Laana imenikumba, nimeshuhuudia wazazi wangu wakifanya tendo la ndoa

    Laana inakuja pale unapoanza kusimulia acha kusimulia tubu kwa mola wako na jifunze usikaendani kimya kama nyau
  8. I

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Abdul Nondo alijiteka na kujisafirisha mwenyewe mpaka Iringa. Ladai alifuata mapenzi

    Uongo wa kitoto kabisa huu yani wameishiwa hata mbinu za kuongopa
  9. I

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Vuma, mwakimama, harambee, sarafina, mkwema
  10. I

    JamiiForums Tanzania Polisi aliyeonekana kwenye Video iliyosambaa akipokea rushwa achukuliwa hatua

    Si hela kung'arishia viatu hiyo? Vp kwa aliyetoa rushwa?
  11. I

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Mabasi ya New Force na Galaxy wakamatwa, ni waliokuwa wakishindana kupitana katikati kukiwa na roli

    Angalia hata yeye barabara hapo mstari huo haumruhusu kupita
  12. I

    JamiiForums Tanzania Yabainika, Tunda(Cleopatra) anatumia zaidi ya laki 3 na nusu kwa siku .

    Na yeye anatumika kwa kiwango gani?
  13. I

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Sub za kujimaliza zile
  14. I

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Klop unaweza kusema ali bert
Back
Top Bottom