Recent content by IDyangu

  1. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msiwakatae watoto wenu

    Halafu anajiita baba wa mtoto.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya power bank kwenye simu

    Asante kwa kuleta huu uzi.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Hili kuhusu UKIMWI

    Ni baada ya miezi mitatu hadi sita kwa uthibitisho zaidi.
  4. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msiwakatae watoto wenu

    Pole sana. Ungemsamehe baba yako.
  5. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msiwakatae watoto wenu

    Ahaa asante. lakini na hiyo roho ipo ndani yake
  6. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msiwakatae watoto wenu

    Asante Hayajanikuta bali ni kushauriana.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Omba dua ndoto kama hii isikutokee

    Hiyo ndoto ni noma!
  8. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msiwakatae watoto wenu

    Chondechonde, kwa wale wanaowakataa watoto wao wakiwa tumboni au baada ya kuzaliwa hasa wanaume. Jamani mnawapa shida watoto wenu. Roho za kukataliwa zinawatesa sana. Hata ukijamkubali baadae kwamba ni mtoto wako, wewe mwenyewe(mzazi) utaona kama hakujali, hakuheshimu(mtoto) vile. Kumbe...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Magumu gani umeyapitia/unayapitia katika kutafuta kazi?

    Dah pole sana mkuu. wahanga tupo wengi. Ila atafutae hachoki na akichoka kishapata. Ipo siku utasahau yote hayo. Usidhani kwamba umepoteza mud,a na resource nyingine kusoma. Mungu anampango wako amekuandalia. Muhimu kush viruses may I ufike. Usife moyo ndugu.
  10. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tarehe na mwezi kama huu miaka mingi iliyopita

    Happy birthday
  11. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi Kizunguzungu

    Haha haa
  12. I

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa au namna ya kuondoa mvi

    Ni kweli kabisa.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Nijuzeni kuhusu mapishi ya mbaazi

    Mbaazi tamu ukiunga na nazi. Pia waweza pika mbaazi kwa kuchanganya na nyama.
  14. I

    JamiiForums Tanzania Daktari wa wanawake

    Asante
  15. I

    JamiiForums Tanzania Daktari wa wanawake

    Asante sana.Nashukuru
Back
Top Bottom