Matumizi ya power bank kwenye simu

Matumizi ya power bank kwenye simu

Power bank ni kama kutumia computer kucharge kifaa chako ingawa huwa powerbank zina current kubwa kuliko computer hiyo zina uwezo wa kucharge kifaa hadi kijae full kwa wakati tofauti na computer. Madhara yatakuwepo endapo unatumia powerbank inayotoa current kubwa kuliko hitaji la simu yako. Simu nyingi zinahitaji wastani wa 1A or 1000 mA na 5 Volts max.

Hapo nilipo bold ndo kwenye utata.
Ntajuaje kama hii powerbank niliyonayo ndo yenyewe ?
 
chukua charger original ya simu yako au kifaa chako, then angalia kwenye OUTPUT (Mfano : output 5V 800mA) basi hilo ndilo hitaji la kifaa chako. ingawa huwa ikizidi kidogo sio mbaya.
 
yes yes. muhimu volt isizidi wala isipungue. hiyo mA ikizidi hata sana hamna tatizo. muhimu isipungue. ni kama kumuekea chakula mlaji ambaye ana uwezo wa kuchukkua anachotaka kilozidi anakiacha. no problem
 
Ndivo alivomanisha chief. Na pia zimeanza kutengenezwa FAKE baada ya watu kuona zina market, ko ni kuwa tu makini ili usipate fake manake zinaua battery kabisa. Brand maarufu ambayo hata nchi kubwa wanatumia ni YOOBAO. Search google kwa hilo jina utapata maelezo zaidi.
Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums

kwa hiyo kwa experience ile brand maarufu ndio inatengenezewa fake zake . right?
ni kusema hiyo YOOBAO itakuwa ina fake zake kibaooo.
kwani fakers and crookers huwa wana akili. mfano watatengeza fake nyingi za samsung lakini hukuti fake za tecno. labda moja au mbili tu. right?
 
Hii power bank tutaifaidi vipi sisi watu wa mabushi humu maana naona mnasema kifaa chenyewe lazima kichajiwe sasa huku ni umeme wa sola;swli langu icho kifaa kinachajiwa kwenye umeme kabla yakutumia au ukisha nunua ndo unaanza moja kwa moja matumizi
 
mkuu hii pb utaichaji kila mara sawa na unavyochaji simu yako
 
Ndugu ilisolokobwe mimi nashkur kwa jibu zur ila naomba kuuliza tena je? Hiyo pb sasa faida yake ninini wakati ni lazima uichaji kabla hujachaji kifaa chako sasa kama mimi kwanini nisichaji kifaa changu kama simu kwenye umeme moja kwa moja yaani pb hiyo faida yake nini jamani walotangulia kuyajua haya tafadhali jamani naombeni mnijuze
 
maana yake ni sawa na kutembea na umeme mahari uendapo,na hii Pb utaanza kuchajia simu yako itapoisha.hvyo mfano km cmu yako ilikuwa inakata chaj kabla hujalejea home,itakuwa imekusaidia.
 
Ndugu ilisolokobwe mimi nashkur kwa jibu zur ila naomba kuuliza tena je? Hiyo pb sasa faida yake ninini wakati ni lazima uichaji kabla hujachaji kifaa chako sasa kama mimi kwanini nisichaji kifaa changu kama simu kwenye umeme moja kwa moja yaani pb hiyo faida yake nini jamani walotangulia kuyajua haya tafadhali jamani naombeni mnijuze
kaka kwanza kabisa unatakiwa kujua kuwa smartphones zote znawahi kualiza charge sana. mfano simu yangu galaxy s4 nikiew online hata masaa3 charge haimalizi, nimeamua kununua pb ambayo sasa inaniwezesha kubrowse kutwa nzima bila kuwa na hofu ya kuishiwa chaji
 
Nashkuru sana ndugu ilisolokobwe na ndugu yangu alkelokasi kwa majib mazri sasa naomba kuulisa je kama mim natumia huawei y300 na yenyewe inafaa pb au ni aina flan za simu pekee kama samsung yako ndugu isilokobwe maana kwakwel kasim kangu kanaknywa chaj jamani duh,naombeni msaada ni aina gani ya pb itakayofaa kwa cm yangu hiyo?
 
PB yoyote itakufaa ila inategemea na mfuko wako, maana zinatofatiana bei kulingana na ukubwa (mah)

Ila hata ukiwa na ukubwa wa mah 5000 kwenda juu itakusaidia.
 
Nashkuru sana ndugu idawa kumbe yoyote itanifaa nashkuru kwakweli asnte sana
 
Back
Top Bottom