Izo sababu za kijinga kwani DNA maana yake nini kuna jamaa aliwai kufanya ivyo 20 yrs ago na sasa ni mzee hana hata wa dawa na yule alir mkataa ni photocopy yake mama wa mtt alimjibu tu kama umekataa huyu mtt wako mungu atakupa zaidi ya huyu tena wazuri ilikuwa ni laana kubwa mpaka leo namjua mpaka mkewe sio vizuru tu kuwaanika humu ndani.
Wewe ndio unavyojidanganya.Leo hii tusingesikia watu wanalea watoto si wao.kubambikiwa kupo na akutaisha lazima watu wajiulize bana.