Recent content by idriswagolo

  1. idriswagolo

    Jiandae kisaikolojia unapoamua kumpiga Mama Watoto.

    Ndio maana sheria ktk Uwisilam haijuzu kabisa kumpiga mkeo hata kama kakukosea kiasi gani..
  2. idriswagolo

    Mambo 4 ya kufanya mwanamke akupende

    Ume nena vyema mkuu pesa ndio mpango mzima ayo yote utamfanyia mwanamke ukiwa a ni lofa..
  3. idriswagolo

    Wanaume wenye magari huwa wanafaidi sana mahaba kutoka kwa wanawake zao

    ha ha..! Mkuu Uyu Demiss msenzi kwel yy anadhani kwa mwana Mme kumiliki gari ni swala la muda
  4. idriswagolo

    Wanawake ni watu wa kujisahau sana

    Aisee yani kapeace umeongea ukweli mtupu.., Nikweli kabisa Mume ndani yanyumba siku zote anahitaji kunyenyekewa haijalishi Mmelingana kipato au Elimu sasa kwa Dada zetu wa sasa hicho kitu hawataki kukiskia kabis akisha jiona nayeye anaamka asubuh anaelekea kazini jioni anarudi nyumban hapo ndio...
  5. idriswagolo

    Zanzibar: Viongozi watano wa Jumuiya ya Maimamu watoweka katika mazingira ya kutatanisha

    Tutolee ujinga yule padri aliye uwawa Zanzibar miaka ile si alikuwa amewadhulumu wenzie aliokuwa akifanya nawo biashara ya madawa ya kulevya wewe hukumbiki mpaka serikali iliingilia kati suala hili hadi ikaagiza askari Wa uchunguzi kutoka Marekani (FBI) kwa ajili ya kulisaidia jeshi letu la...
  6. idriswagolo

    Zanzibar: Viongozi watano wa Jumuiya ya Maimamu watoweka katika mazingira ya kutatanisha

    Asante mkuu nimekuelewa sana Ila aya maonezi ipo siku yatafika mwisho..
  7. idriswagolo

    Hii habari ya Jumatano ya Majivu asili yake ni nini!?

    Nasubir hiyo mada mkuu hapo kesho..
  8. idriswagolo

    Hii habari ya Jumatano ya Majivu asili yake ni nini!?

    Hizi ibada nyingine ni shida tu yani Leo mjini nilikuwa nakutana na wadada sura zao zimetapakaa majivu yani ukijumlisha na mekap walizo pakaa usoni Aisee nilibaki nawatolea mimacho tu huku nikijiuliza kwa nini walivyotoka ibadani wasiende nyumbani tu..
  9. idriswagolo

    Maneno ya Sheikh wetu Mussa Alhad kwa huyu Mange hayako sawa

    Uyu Mufti kajidhulumu mwenyewe kumjibu mtu kama Mange tena mtandaoni Nibora ange kaa kimya ingekuwa jibu zuri sana kwa jamii
  10. idriswagolo

    Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

    Dada umri wako tafadhali manake umetueleza vingi hapa ulivyo jaliwa na M/mungu ila umesahau kitu muhim., mtu asije akasumbuka kukufata pm kumbe mwenzetu ushachomoa kiumri yan (38)
  11. idriswagolo

    Wanawake muwe mnavaa nguo za ndani

    Haya mambo ya akinadada kwenda namavazi yao ya kihasalahasala kanisani hivi si vishawishi bali hii ni laana wanayo peleka makanisan lamsingi wakuu wa makanisa hili swala wasiwe wanalifumbia macho wawe wanawaeleza ila cha ajabu baadhi ya makanisa unakuta wahubiri wanayo yahubiri juu ya wanaweke...
  12. idriswagolo

    Single mothers njooni tuzungumze kwa mapana na ufupi

    We mpaka unamtanulia muda mwingine unakamata dushe unajiingizia mwenyew hadi inafika hatuw unabeba ujauzito unakuw hujamjuw kama anakibamia? tutolee apa uzezeta wako
  13. idriswagolo

    Orodha ya mabasi mabovu nchini ambayo hushauriwi kuyapanda

    kuna basi inayo itwa Nyawahita inayosafiri Mwanza to kigoma kwanza muonekano wake tu ilikuwa haistaili kupewa root ndefu kama ile ya mwnz to kgm yani nilisafiri nayo kutok mwnz kgm aisee tulifika usiku wa manane wakati safar ya mwnz kgm ni Massa 12., yani Sumatra laiti wangelifaham hii gari...
  14. idriswagolo

    Mtoto Aliyejifungua Mtoto

    Mwanamke anavunja ungo kuanzia umri wa miaka 9 mpaka 14..
  15. idriswagolo

    Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

    acha mkuu ndiomaana ata Lana hazituishi utaskia Mara uchumi umeporomoka Mara mvuwa hazinyeshi nahata zikinyesha nizakuleta mafuriko., hiiyote inasababishwa namatukio ya kishetani kama haya..
Back
Top Bottom