Habari ya muda huu mpendwa na mwana J.F
nakukaribisha wewe unaehitaji kupata huduma ya kununua gari Aina yeyote iwe mpya kwa kuagiza kutoka nje au iliotumika hapa hapa iwe ndani au nje ya Dar es salaam,
Tunashirikiana na makampuni makubwa yanayoagiza MAGARI kutoka nje kwa bei nafuu zaidi.
Pia...
Kuna vitu nimepata kutoka ktk Uzi huu na nahisi kuna Watu ambao tabia hii ipo katika nafsi zao na unaweza ukakutana na mtu hata kwenye kuongea nae tu ukiwa umepotezana muda mrefu unamgundua tu amepoteza kujiamini,
Pia linapokuja suala la enterview (usaili) mtu akisimama tu unamuona hajiamini...
Wakuu wa Jamii Forum
Ningeomba tujuzane hapa katika uzi huu,
Tatizo linaloweza kusababisha mtu asijiamini na afanye kipi ili kuepuka tatizo hili maana limeshamili sana hasa kwa vijana wa sasa hivi kupelekea kushindwa kutekeleza majukumu yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanapenda ligi jaman sasa kweli hyo zilipendwa nayo nyimbo tushazoea kuziona hizo hizo kila kukicha KIBA SUMU INGINE BANA hata asipotoa ngoma mpk mwezi December hii inatosha seduce me ni kiboko
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huwa ni utamaduni wa wakongo eti
Mana mi sielewi Huyu mchezaji mpya wa yanga mpaka kwenye gazeti nikaona hii habari sasa sijui kuna nini hapa Hebu wakuu wa mambo nielezeni
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.