Private-eye
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,069
- 1,211
Namna nzuri kwa uzoef wangu ni kuwa vulnable. Yaan badala ya kujijengea wigo wa kuzuia mambo mapya au task mpya....go for it. Ukiwa unahisi woga ujue unajifunza kitu kipya na mara utakapokimudu woga utapitia dirishani.....to me hii ndo njia bora ya kupambana na kutojiamini...be vulrable!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app