Recent content by Idibo

  1. I

    JamiiForums Tanzania Magufuli kuzidisha muda kwa Mara ya Pili leo

    Bado star tv inaonyeshe lakini sijasikia tume kusema lolote lile
  2. I

    JamiiForums Tanzania Lowassa kutumia mbinu zilizompa ushindi Uhuru Kenyatta

    Ndg wanajf naomba nielezwe humu nasoma hoja humu EL ni tajiri nikiingi kwenye nlmitandao katika matajiri wa tz sioni jina la EL kwani ana utajiri gani nawaombeni tafadhari
  3. I

    JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi wa CHADEMA, atekwa akirudisha fomu ya ubunge Shinyanga Mjini

    Ni kweli katekwa wakachukua form zilikuwa kwenye mkoba ila zote ni photocopy na mmoja wa waliochukua form kamjua kwa sura
  4. I

    JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi wa CHADEMA, atekwa akirudisha fomu ya ubunge Shinyanga Mjini

    Habari za uhakika ni kweli amenyang'anywa form pamoja na simu ila form alizonyang'anywa ni copy tu
  5. I

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Ukawa watashinda
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazee wenye heshima wa taifa hili wote wawe hawamtaki Lowassa?

    Ungeuliza swali hilo kabla hajaondoka ccm ningekuona wa maana
  7. I

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu, kumbe hata wewe ni mnafiki!

    Aliuza kampuni iliyokuwa anaimiliki yeye na wenzie labda katangaziwa dau tena kwenye gazeti lake
  8. I

    JamiiForums Tanzania Leo Ijumaa, Agosti 7 nitazungumzia siasa zinazoendelea nchini channel 10 saa 4 usiku, karibuni

    Polepole nakukubali ila baada ya kukuona umeingia kwenye siasa mie ni ngumu kukuamini tena sijui labda nitakuangalia baadae.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mtikila kumshitaki Lowassa kwa kukwepa kodi

    Wewe Liziborn una kumbukumbu sahihi kweli au unaongozwa zaidi na mapenzi ya upande fikiria tena
  10. I

    JamiiForums Tanzania Mtangaza nia wa ACT Wazalendo ni udhalilishaji mwingine kwa taasisi hii ya Urais

    Hijja mbona unaandika sentensi zenye mapungufu? jitahidi kuhariri kabla hujapost japo ujumbe umefika
  11. I

    JamiiForums Tanzania Team nzima ya CHADEMA ndani ya Kahama leo mapokezi ya James Lembeli

    Lita 3 kwa kilomita hapo wewe ni mwongo
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania umeme unapanda bei kila mwaka?

    Tshs 10000 ni unit 27.5 na sio 24 units na hiyo ni kama upo kwenye tarrif 1 ambayo kwa unit 1 ni sh 363. Kweli bei ni kubwa mno tuombe serikali ipunguze bei (japo siamini hili)
  13. I

    JamiiForums Tanzania RFA, Star TV, Magic FM, Uhuru FM kufungiwa na TCRA

    Wanafanya makusudi kutolipa sio kwamba hawana pesa. Ila................
  14. I

    JamiiForums Tanzania GE2015 Lowassa kuzungumza na wanahabari baada ya kumaliza kikao kizito na familia pamoja na marafiki zake

    Usalama wake kauimarisha vipi? Maana atagusa maslahi mapana ya vipato vya watu
Back
Top Bottom