Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
Mamlaka ya mawasiliano nchini imevipa siku saba vituo arobaini vya redio kwa kushindwa kulipia ada kwa mwaka 2014/15.
Kwa mujibu wa magazeti ya leo mamlaka hiyo imesema kuwa vituo hivyo vimepewa siku saba na visivyofanya hivyo vitafutiwa leseni au kufungiwa kabisa.
Pamoja na vituo vya redio pia Star Tv imo kwenye mkumbo huo.