Magufuli kuzidisha muda kwa Mara ya Pili leo

Magufuli kuzidisha muda kwa Mara ya Pili leo

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Leo jumapili tarehe 06/09/2015, CCM wamepitisha muda wa kampeni. Hivi sasa ni zaidi ya saa kumi na mbili na dakika tano bado

wanaendelea na kampeni wakiwa uwanja wa Jamuhuri Morogoro. Tume ya taifa ya uchaguzi wapo wapi.
 
Sheria Nyingi za Uchaguzi Zina Meno Siku zote Kwa Upande wa Pili. Kumbuka Siku ya Ufunguzi wa Kampaign CCM Walienda Hadi 18:34.
 
chama kime vaa koti la serikali. Ingekuwa UKAWA mabomu yameshapigwa.
 
Muda bado! Majira yanatofautiana mkoa kwa mkoa!
 
Tayari amesha zidisha sasa hivi ni saa12.04 jioni
 
Bado star tv inaonyeshe lakini sijasikia tume kusema lolote lile
 
Lema walimuweka ndani,Leo magufuli VP?
 
Tayari sasa ni saa 6:04 pm bado anoongea tu. hii ni sawa? siyo sawa hata kidogo
 
Leo jumapili tarehe 06/09/2015, CCM wamepitisha muda wa kampeni. Hivi sasa ni zaidi ya saa kumi na mbili na dakika tano bado wanaendelea na kampeni wakiwa uwanja wa Jamuhuri Morogoro. Tume ya taifa ya uchaguzi wapo wapi.
 
Back
Top Bottom