Kwanini Tanzania umeme unapanda bei kila mwaka?

Kwanini Tanzania umeme unapanda bei kila mwaka?

BRO SANTANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
1,845
Reaction score
2,249
Ndugu wananchi wenzangu.
Nchi hii na serikali yake ya kijani haina hata chembe ya huruma kwa wananchi wake.
Wametoa mfumo wa mita za kawaida za umeme na kuleta mita za luku ili kuwanyonya wananchi.
Elfu 10 unit 24 jamani inauma sana hasa kwa wale wa kipato cha chini na ukizingatia gesi inaanza kutoka mtwara hivi punde.
Anayejua kuhusu hili anijuze tafadhali.
 
Na bado Magufuri akiingia slogan itakuwa tumieni koroboi kama bei ya umeme hamuiwezi.
 
Ndugu wananchi wenzangu.
Nchi hii na serikali yake ya kijani haina hata chembe ya huruma kwa wananchi wake.
Wametoa mfumo wa mita za kawaida za umeme na kuleta mita za luku ili kuwanyonya wananchi.
Elfu 10 unit 24 jamani inauma sana hasa kwa wale wa kipato cha chini na ukizingatia gesi inaanza kutoka mtwara hivi punde.
Anayejua kuhusu hili anijuze tafadhali.

Kwa ajili ya ccm
 
Umeme upi huo huu unaokatikatika kila mara huku nilipo ni majanga matupu taarifa hawatoi wakitoa wanasema vituo vya kupozea umeme vinajengwa ila mwezi wa sita mwisho ukatikaji lakini hamna kitu mara tunaweka nguzo mpya ish! usiku nako mnaweka nguzo mpya yaani ni wangese sijapata kuona hivi wao huwa hawakatikiwi?
 
Tshs 10000 ni unit 27.5 na sio 24 units na hiyo ni kama upo kwenye tarrif 1 ambayo kwa unit 1 ni sh 363. Kweli bei ni kubwa mno tuombe serikali ipunguze bei (japo siamini hili)
 
Back
Top Bottom