Recent content by iddimaftah

  1. iddimaftah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada wa haraka ku unlock apple id ktk ipad mini

    FBI hawaja honga ila wamemlipa mdukuzi alioweza kugundua uzaifu wa OS ya iphone
  2. iddimaftah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi cha ziada kwenye line ya tigo ya 4G

    BASI KAMA WANASEMA INA SUPPOT HAPO NIKUSWAP LINE YAKO HATAKAMA UTAKUA HAUPO KTK NETWORK YA 4G ILA UKIWA KTK ENEO LENYE 4G UTAINJO KAMA KAWAIDA
  3. iddimaftah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kwa watumiaji wa Iphone tu!

    Duuu!
  4. iddimaftah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kwa watumiaji wa Iphone tu!

    Mkuu usitoe somo laku copy nakupeste unatakwa ujue unacho kifundisha
  5. iddimaftah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi cha ziada kwenye line ya tigo ya 4G

  6. iddimaftah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi cha ziada kwenye line ya tigo ya 4G

    Kwanza unatakiwa kufahamu je simu inauwezo waku support 4g ya tigo? Kunan simu zingine zinauwezo wa LTE yani 4g lakini ikashindwa kupata speed ya 4g kutoka tigo kwahiyo mfahamu kua sio simu zote zenyeuwezo wa 4g zitaweza kupata speed hiyo. hayo nimatatizo ya frequnce za 4g ya tigo na frequnce...
  7. iddimaftah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi cha ziada kwenye line ya tigo ya 4G

    Faida zipo kibao ktk 4G 》kwanza ili uweze kupata speed ya 4G lazima uwe na line ya 4G simu yako pia iwe inauwezo wakusupport 4G na eneo ulilopo liwe na netwotk ya 4G kwahiyo hizi laini zakawaida za 32K haziweza kupata speed ya 4G mapaka ui swap ktk line za 64K yani zenye uwezo wa kusuport 4g...
  8. iddimaftah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi cha ziada kwenye line ya tigo ya 4G

    Sio kweli
  9. iddimaftah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyaje simu yangu iweze kusupport line nyingine?

    Big up kamanda pole sana kwa tatizo ambalo lilikua linakutawanya ubongo enjoy maisha
  10. iddimaftah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

    App hii imebeba machanel kibao ya nayoonyeshwa na DSTV mechi zote utaziona live niwewe na MB zakotu basi
  11. iddimaftah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

    Pia nitawapa maujanja yakuweza kuona mechi yoyote ya nnje live nitawapa application ambayo chanel zote za DSTV mtaziona live chanel zote zampira namachanel yahabati full matakataka yote live unajua ni applicatiom gani?hahahhaha download app inayoitwa "mobdro" kupitia google then install...
  12. iddimaftah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

    Youtube inaonyesha mpira live kama kawaida unachotakiwa wewe kufanya seach neno LIVE ktk youtube
  13. iddimaftah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

    Ngoja niwape maujanja
  14. iddimaftah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

    Youtube inaonyesha mpira live
  15. iddimaftah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyaje simu yangu iweze kusupport line nyingine?

    Thank u
Back
Top Bottom