Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

594e4539132efb7bb9e654c924a940af.jpg
Youtube inaonyesha mpira live kama kawaida unachotakiwa wewe kufanya seach neno LIVE ktk youtube
Ingia Google andika neno adthe then follow instructions utacheki games zote laivuuu bila chenga hakikisha una bando ya kutosha
 
App hii imebeba machanel kibao ya nayoonyeshwa na DSTV mechi zote utaziona live niwewe na MB zakotu basi
 
Ingia Google andika neno adthe then follow instructions utacheki games zote laivuuu bila chenga hakikisha una bando ya kutosha
Nimeacha kuangalia mpira kwa kutumia adthe,maana kila nikiingia nakuta matangazo ili niweze kuangalia match basi kwanza lzm ni bet!
 
ingia youtube halafu search jina la timu inayocheza mda huo mfano barcelona

zitakuja result click filter halafu chagua live zitakuja chanell kibao za mpira zinazoonyesha.

ila kuna scam nyingi tumia akili ya kuzaliwa kugundua stream feki na zinazoonyesha
 
App gani nzuri playstore Kwa kuangalia mechi za mpira za bara la ulaya kwenye playstore?
 
Anamaanisha halotel Internet yake ipo vizuri hakuna buffering ya hovyo hovyo. Unacheck mpira safi kabisa. Hata mimi natumia Internet ya haloteli. Na kuhusu app mimi ninatumia U stream na nyingine ni LIVE SPORTS TV. uefa champions league unaangalia pia kupitia hizo app
 
Kuna app moja naitafuta playstore jina limenitoka. Ina channel za michezo kwa mpangilio unaeleweka. Naona nyingi ni vurugu...
 
Ila nataka niwaambie kitu...app zingine hazifai hata kidogo...app hizi many times huwa zina VIRUS so zitawaharibia simu zenu
 
Mobdro hii IPO poa sana coz haikwam kwam

Mi ndo ninayoitumia INA channels nying sana
 

Attachments

  • 1462026451485.jpg
    1462026451485.jpg
    25.9 KB · Views: 173
  • 1462026474659.jpg
    1462026474659.jpg
    30.8 KB · Views: 164
  • 1462026507848.jpg
    1462026507848.jpg
    17.9 KB · Views: 185
Back
Top Bottom