msaada wa haraka ku unlock apple id ktk ipad mini

msaada wa haraka ku unlock apple id ktk ipad mini

kuna kubypass unatumia evrythng fine isipokuwa 3g na gsm network.... kama simu inakuwa kama ipod tu using wifi!! ila hyo kitu ni bure kbsaa hata wewe unaweza ukafanya, kuna servers huwa wanazitumia

Naomba Msaada wako ndugu yangu Mimi nina iPhone 4s iLa nikiitumia hata kama ipod nitafurai sana kwa sababu nimeangaika kwa watu kutoa icloude Account wananiambia haiwezekani naomba nisaidie hata hiyo njia ya kubypass
 
Specification ios7.1.1 bought at a second hand from my friend ambae kwasasa hapatikan na nshafanya restoration lakin device ina demand account that was used to setup that ipad

Ulifanikiwa?
 
well, kwa uelewa wangu hiyo kitu haiwezekani asilani....utaishia kutapeliwa tu
 
FIB walilipa dola milion 1 kufunguliwa ile simu ya muuaji. Acha kabisa
 
FBI hawaja honga ila wamemlipa mdukuzi alioweza kugundua uzaifu wa OS ya iphone
 
Back
Top Bottom