fdizzle
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,900
- 2,394
Simu niliyonunua ni ya line mbili moja ni ya kawaida na nyingine ni ya kukatia.
Kwenye sehem ya kuweka line ya kawaida ina support mtandao mmoja tu wa tigo.
Naomben kujulishwa nifanye vipi ili iweze kusupport line nyingine mfano airtel ba je speed ya internet itakuwa nzur maana uku pa kukatia ina support line ya mtandao mwingine tatizo lipo speed ya internet ni ndogo sana.
Nawasilisha