Recent content by ichuka

  1. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zahera jana alivaa kipensi... kwani CAF wanaruhusu?

    Hizo ni kanuni za tff tu hazihusiani na caf yeye avae tu hata boxer, Ila jamaa hawezi kufundisha mpira yule ana maneno mengi mno
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzee Kilomoni: Simba SC ni taasisi yenye maslahi ya Umma kisheria zile hisa 49% zinapaswa kumilikiwa na wawekezaji zaidi ya watatu!

    Ni lini Simba wametangaza hisa kwenye soko? mpaka sasa mchakato was klabu ya Simba kuwa na hisa bado ndo maana wako kwenye mchakato wa kujisajili
  3. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Beno Kakolanya imeinajisi kazi yake

    Umeongea vizuri kwa upande wa klabu lakini ukweli sisi kama mashabiki was Mpira tuwe tunaangalia na upande wa mchezaji beno kazungushwa sana kulipwa pesa zake za usajili toka msimu uliopita na pia hajalipwa mishahara inasemekana sasa ni miezi minne na huku yeye ana familia inamtegemea kutoka...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Waliofanya usaili wa kuandika katika bodi ya korosho

    Naomba kuuliza kwa wale waliofanya usaili bodi ya korosho watupe mrejesho wa kinachoendelea kama wameshaambiwa kuhusu usaili mwingine ni lini.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Kwa waliofanya written interview za MUHAS pale DUCE

    Dah ngoja tuvute subira
  6. I

    JamiiForums Tanzania Sijaona watu makini kama utumishi portal

  7. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Real Madrid katika Robo Fainali dhidi ya Bayern Munich ilijawa na upendeleo kwa madrid

    exactly walibebwa sana magoli yote mawili ilikuwa ni offside dhahiri
  8. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa Game ya Jana hakuna Mchezaji wa Barca aliyeruhisiwa Kukabwa wala Kuguswa.

    Tatizo watu mnashindwa kukubali matokeo mbona Unai yy kakili kuwa barcelona iliwazidi kimchezo na walistahili kushinda,kama kweli walikuwa hawaguswi mbona akina pique,suarez,busquete walionesha kadi za njano tufikie mahala tuwe tunakubali uwezo wa mpinzani wako
  9. I

    JamiiForums Tanzania Sales representative interview at coca cola kwanza

    vp hawa jamaa wameshaita interview ya oral au bado?
  10. I

    JamiiForums Tanzania Magufuli: 2017 Mwaka wa Tanzania Mpya

    duuu
  11. I

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje Wakuu

    hao wakimbie kabisa hakuna interview ya kulipia
  12. I

    JamiiForums Tanzania Je, Ni kweli Interview ya Human Capital Co. LTD wanachaji pesa?

    hiyo cyo interview ya kweli kuna bwana mdogo kaombwa kuchangia ili kujisajili kwa tshs 20,000/=
  13. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zimbabwe Vs Tanzania : Full Time Zimbabwe 3 Tanzania 0

    itakuwa saa 9:00 za zimbabwe huku kwetu ni saa10:00jion na itarushwa kupitia ZBC ya zimbabwe pamoja na AZAM TWO
  14. I

    JamiiForums Tanzania Job Vacancies Geita Goldmine Deadline 7th Nov 2016

    mmmmh
Back
Top Bottom