Zahera jana alivaa kipensi... kwani CAF wanaruhusu?

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
3,246
5,756
Huyu kocha wa Yanga Ndugu Mwinyi Zahera jana kavaa kipensi wakati alishafungiwa mechi tatu za ligi na TFF. Jana kocha wa Pyramid alivaa kwa heshima sana, na hata Patrick Ausems wa Simba ni kocha anayejiheshimu.... SASA HUYU ZAHERA ADABU GANI KUVAA BOXER AISEE..... Mbona anashindwa kuwa mstaarabu.... Yanga mnafeli wapi?
 
Ndio ulimoma jana? Mechi zote za CAF alivaa pensi na hakuna hatua aliyochukuliwa. Hizo sheria zipo TFF pekee
 
Hizo ni kanuni za tff tu hazihusiani na caf yeye avae tu hata boxer, Ila jamaa hawezi kufundisha mpira yule ana maneno mengi mno
 
Losers siku zote huwa wanapenda ku-complicate mambo tu bila hata sababu za msingi ili waonekane wapo active!

Huu muda wanaotumia kutunga kanuni za kipumbavu wangejikita kutafuta wadhamini na vyanzo vya mapato ili walau waweze kulipa makocha wa timu za taifa!

Amunike hadi sasa anawadai wanamzungusha tu.
 
Back
Top Bottom