Kwa waliofanya written interview za MUHAS pale DUCE

Kwa waliofanya written interview za MUHAS pale DUCE

Mhh na Leo hawawez kutoa coz Leo so siku ya kaz
Una hakika na unaloongea pia unafahamu jinsi ya utendaji wa Utumishi mkuu,jibu ni hivi matokeo wanatoaga j pili kwa saili zinazofanyika Ijumaa na J mosi ili j 3 na kuendelea watu wanafanya Mahojiano na kuhusu kuwa siku ya kazi au kutokuwa na kazi haiathiri matokeo na utendaji wao UTUMISHI.
 
Back
Top Bottom