Recent content by ibrahimchikoko

  1. ibrahimchikoko

    Tatizo la kisaikolojia: Huu mwaka wa 25 napenda kukaa mwenyewe tu, wakizidi watu watatu natoka

    Bro yaani hilo tatizo ata mimi ninalo nashindwa socialize kabisa na watu since primary hadi nao nko chuo.Ni mkimya sana yaani ata kushare idea kwenye group discussion inakuwa shida ila ni very bright sana darasani. Kingine kinacho niogopesha nawez kaa ndani ghetto peke yangu bila kutoka nje ata...
  2. ibrahimchikoko

    Nahitaji mpenzi

    Fanya kuni pm tuyajenge
  3. ibrahimchikoko

    Wasiwasi wangu mwingine juu ya ndege za Serikali za Fokker zilizoingizwa ATCL ni umri wake wa kati ya miaka 30 hadi 50!

    Sasa ndugu yangu kwani hizo ndege zilikuwa zimekaa tu bila kufanya kazi? Ofkoz zilikua zinafanya kazi. Na hapo hakuna suala la siasa Kuna mamlaka husika zimethibitisha inaweza kufanya kazi. Ebu tuwe wazalendo na tuonshe support yetu kwa mheshimiwa raisi kwa kupongeza mazuri anayofanya. Sent...
  4. ibrahimchikoko

    Kwa suala la Pierre Liquid, Makonda unastahili pongezi

    Tatizo sio illegal au vinginevyo. Tatizo media zipo kwa interest zao binafsi kutafuta trend YouTube na viwers na subscribe so wanajikuta wanabase kwenye vitu visivyo vya maana ili kutengeneza attention na vitu kma hvo. Mimi na blame sana hizi online TV hazipo kwa ajili ya kujenga wao ni biashara...
  5. ibrahimchikoko

    Kwanini Diamond hashindi tuzo kwa sasa

    Mtu mzima una comment kitu cha ovyo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. ibrahimchikoko

    Usalama wa Rais: Wale askari wanamzunguka wanakuwa na silaha za moto kweli?

    Hiko hv wale wenye suti nyeusi ni maofisa wa tiss pamoja na bakabaka jukumu lao n kutoa security guard kwa raisi na wako na vifaa maalum vya kudetect mtu mwenye silaha ,na yule kanali nyuma ya raisi sio mlinzi ila ni msaidizi wa raisi tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. ibrahimchikoko

    Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    6 september Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom