Hawa ndiyo matapeli maarufu kwenye mitandao ya kijamii.Kuwa nao makini

Scenario za utapeli ulizoziorodhesha hapo ni za kumtapeli mluga luga aliedondokea town akiwa na siku tatu hvi, mtoto wa mjini hawezi akaingia kingi kwa njia hzo,
 
Hujaandika chochote brother.

Hapo hakuna utapeli, jiulize nini maana ya utapeli halafu uje uandike upya.

Mtu akikutumia picha za mitego then akakuomba vocha ukamtumia, anakuwa amekutapeli kivipi?

Kwani makubaliano yenu ni yapi zaidi ya ombi lake la vocha ambalo umeliridhia mwenyewe kwa hiali?

Utapeli ni pale unapokubali kufanya transaction fulani kwa ajili ya kupata kitu fulani ambacho umekiona au kuamini na baada ya malipo usikipate na ukarukwa kabisa na mpokeaji.

Au ukalipa deni kwa mtu mwingine aliejitokeza kukudai ukidhani ndo yule anakudai na mmpenga umlipe ndani ya wakati huo.

Ulichoandika huwatokea wapuuzi tu na huwa hawatapeliwi coz hata kisheria hamna kesi.
Exactly
 
wewe hata ukiona taarifa ya habari kwenye tv utaanza kubishana na mtangazaji wakati hakusikii
 
Kuna kibaka alitaka kunitapeli ,sasa alibugi step na mimi nikatumia opportunity hiyo hiyo kumtapeli yeye. Kila siku anapiga simu naomba nirudishie ela yangu
 
Fixed game weng wamepgwa sana,Mimi nilkuwa najiuliza kama wew,kwann wasiweke wao hela nying au wawaambie ndugu zao,ila kuna SKU rafiki alinishawish nkaamua kujaribu,tulipgwa kama ksh.25
 
Umesahsu matapeli wanaotangaza biashara zao instagram hasa electronic na home appliances. Wao watakiambia duka lipo zanzibar. Unatuma pesa nusu alfu nusu unamaliza mzigo ukifika. Weng wao wanafunga comments catika post zao.
 
Hujaandika chochote brother.

Hapo hakuna utapeli, jiulize nini maana ya utapeli halafu uje uandike upya.

Mtu akikutumia picha za mitego then akakuomba vocha ukamtumia, anakuwa amekutapeli kivipi?

Kwani makubaliano yenu ni yapi zaidi ya ombi lake la vocha ambalo umeliridhia mwenyewe kwa hiali?

Utapeli ni pale unapokubali kufanya transaction fulani kwa ajili ya kupata kitu fulani ambacho umekiona au kuamini na baada ya malipo usikipate na ukarukwa kabisa na mpokeaji.

Au ukalipa deni kwa mtu mwingine aliejitokeza kukudai ukidhani ndo yule anakudai na mmpenga umlipe ndani ya wakati huo.

Ulichoandika huwatokea wapuuzi tu na huwa hawatapeliwi coz hata kisheria hamna kesi.
Umenunua fixed match unasema umetapeliwa inakuwa vipi wakati umepewa mechi Mkeka umechanik utapeli hajui hupo vipi mbn anaonga pesa kwa demu haji kutangaza km ametapeliwa cwez kununua fixed match hata siku MOJA
 
Back
Top Bottom