Bolt kwa madereva inawaumiza sana, makato yao ni makubwa kupita kiasi, inafikia hatua ambayo dereva ukimuita anamaliza trip kabla ya safar alaf bei mnamalizana kwa mazungumzo.
Tanzania ndio nchi pekee yenye matatizo kila sekta kuanzia Umeme, Maji, Gesi, Mafuta hivi kwa nini nijivunie Tanzania labda. Mama tuachie nchi yetu plz
Nakuunga mkono,, kuundwa kwa sanamu siyo lzma mliabudu kwn dunian kuna sanamu za watu maarufu ngapi je hizo sanamu zinaabudiwa? Sanamu ni symbol ya heshima na kumbukumbu anayopewa mtu aliyefanya mambo makubwa katika jamii fulani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ety lbda wagundue nn kwny maeleza anasema dunia n flat ambayo haina mwsho really kuna ki2 ambacho hakina mwsho kwl[emoji119][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanaenda ila cyo kihorera ndio maana ya hyo treaty na si kwamba watu wamezuiwa mfano researchers na scientific purposes uwanja n wao kwenda
Sent using Jamii Forums mobile app
N kwl dunia inazunguka na kwa speed kbwa sema kwa kuwa diameter ya dunia in kubwa mno na sisi tupo kwny dunia na dhairi kuwa huwez inotice kama inazunguka bt sincerely it's in motion
Sent using Jamii Forums mobile app
Raisi mpk ameliongea kwny hotuba ake ina maana ameshajiridhisha kikamilifu na hata ingetokea kapeleka nchi zngne asingeweza kusema kwa umma maana hayo mamlaka hana. Hivyo n vyema viongozi husika waliangalie hlo kwa sura nyngne n jinsi gan wataweza kuleta majbu sahihi
Sent using Jamii Forums...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.