Ningeomba tumjengee Sanamu Rais magufuli

Status
Not open for further replies.

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,258
1,541
Habari Wana jamiforums poleni na majukum

Kutokana na jinsi mh Rais John pombe magufuli anavyo ongoza hii nchi kwa ufasaha nimeona Sio vibaya tukimjengea Sanam la ukumbusho.ambalo watoto zetu watakapo zaliwa waweze kuona nembo ilio kua muhim katika taifa la Tanzania

Pia napenda nimpongeze Rais kwa hatua alizo chukua za kupambana na Corona bila madhara yoyote Yale makubwa Kama kwa majiran zetu ambao wamefikia hatua ya kuanza kufunga raia kisa chakula Cha mgao kitu ambacho raia wao wangekua huru wangeweza kujitafutia wao.wenyewe

Pia ameweza kutuonesha kua kiongozi siku zote ni hekma na busara. Pia kiongozi Bora ni yule mwenye kuongoza kund kubwa la watu bila kumpoteza hata mmoja

Rais magufuli uchaguz unao kuja ilikua haina haja ya kupoteza hela kwenye kampen za uchaguz sababu Rais ajae ambae atatuvusha na kua nchi yenye kuvutia wengi tayar anajulikana. Napenda niwashaur wapinzan Tanzania Kama wanataka kwenye uchaguz watoa changamoto hata kidogo kwa magufuli Basi waache kuwauz wananch

Wanatakiwa waungane na magufuli sababu upepo wote umeelekea kwake watanzania hawataki kufungiwa ndan watanzania hawataki kuogopeshwa watanzania hawataki kutumika mnapo endelea kua tofauti na Rais wao Mnawakera hata wao ukitaka kuamin ilo jaribu kua kila unapo panda daladala anzisha mada ya magufuli ukiwa kanisan ukiwa msikitin ukiwa popote pale wanapo patikana watu kwa wingi alafu uje na majibu

Juzi nilikuwa kariakoo wallah magufuli amebadilisha siasa ya hii nch sababu kila mtu anamuongelea kwa mazuri sija wahi ona

Pia namshaur mwenyekit wa Nan atuambie hela za ruzuku B8 na michango ya Wabunge zinaenda wapi Sio anaulizwa anajibu uchaguz ni mchakato mchakato gani huo?


Kwa Mambo yanayo endelea dunia kote juu ya Corona Rais magufuli anaonekana bado yupo namba moja Tena nahis anaweza kupewa tuzo ya kiongozi Bora wa muda wote

Alisema Corona ni kaugonjwa kadogo tusiogope kwel imana yake imetuponya
Pia alisema kua Corona bado ipo Sana Sio ya kuondoka leo Wala kesho na kweli dunia imethibitisha ilo. Juzi tumetangaza kufungua mipaka ya watalii na ndege kutoka mataifa mengine . Ulaya na wao wamepanga kufungua mipaka Yao na ndege zianze kutoka na kuingia

Magufuli alisema hawezi wafungia watu ndan Kwan atakua ameongeza tatizo lingine na kweli walio mkaid wakapuuzia sasaiv Hali imekua mbaya wanagombania chakula wazee watoto mpaka watu wazima

Watanzania Rais magufuli tume letewa na Mungu tumlinde kwa nguvu zetu zote Ila naamin Kuna watu kupitia janga ili la Corona wamepoteza Iman kwa wanach mm yangu macho tusubirin kwenye uchaguz Mambo yatakavyo kua

Tanzania ingekua Uganda au Kenya saiv kulingana na Hali inavyo endelea Kuna watu saiz wangekua hawalal Ila wako mtaani na wanach wanaandamana kua rais anatesa wananch. Ila maskin akili za Rais magufuli zilivyo kua nyingi zimewapiga chembe kidevu Yan lazima wakae.

Upinzan mkitaka watanzania Wawa salimishe kubalin yaishe tu Ila mkiendelea inaweza kua ndio mwisho wenu Kama mlivyo taka kuitumia Corona kuindoa serekal bas ndivyo ivyo ivyo serekal itatumia Corona kuwaondoa mm nawashaur tu sababu wanasema kweny mosh ujue Kuna Moto. Fununu pia tunazo za baadh ya watu muhim katika upinzan kuanza kutengua kauli na kuomba radh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1589907136321.jpeg
 
Nakuunga mkono,, kuundwa kwa sanamu siyo lzma mliabudu kwn dunian kuna sanamu za watu maarufu ngapi je hizo sanamu zinaabudiwa? Sanamu ni symbol ya heshima na kumbukumbu anayopewa mtu aliyefanya mambo makubwa katika jamii fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom